Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,708
- 128,344
Hahahaaa. Yabidi nikupikie siku moja jamaani ili hamu yako iishe.Wantia hamu ujue
Hahahaaa. Yabidi nikupikie siku moja jamaani ili hamu yako iishe.Wantia hamu ujue
Mkuu upo Kama Mm ani nikikutana na mwanamke ambaye hajui kupka huwa namuombea kwa mungu to. Coz secta iyo niko vizuri mpaka najionea wivuuKwa kweli niko poa sana katika upikaji nikikuta mwanamke anapika kama Mbuzi huwa namdharau sana.
Safi sana.Mkuu upo Kama Mm ani nikikutana na mwanamke ambaye hajui kupka huwa namuombea kwa mungu to. Coz secta iyo niko vizuri mpaka najionea wivuu
Sasa hivi chura hamtaki mnataka mapishi?
Sema wewe mkuiMuchoyo wewe muonee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi mwanamume, ambae ni mume wa member mmoja mkimya sana humu, tena ni baba wa vijana wa kike na kiume....
Naomba kuwasilisha
Kweli kabisa kula [emoji109]Wapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Hapo lazima tutimuaneKitanda nako unakuta anafanya utumbo aiseee inakera.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazi ya wazazi wake ilikuwa Nini?
Usikute na mahari kibao wamekutoza.
Wazazi mke kazi yake sio kutiana tu.
Kama ningekuwa nataka kutiana ningekuwa nanunua kila siku wanaouza kibao.
Na kuzaa wanazaa.
Mama huwezi kutembea barabarani unajisifu nina watoto wa kike hata kupika. Hawawezi.
Chai tu inawatoa jasho.
Jibu safi sa ili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazi ya wazazi wake ilikuwa Nini?
Usikute na mahari kibao wamekutoza.
Wazazi mke kazi yake sio kutiana tu.
Kama ningekuwa nataka kutiana ningekuwa nanunua kila siku wanaouza kibao.
Na kuzaa wanazaa.
Mama huwezi kutembea barabarani unajisifu nina watoto wa kike hata kupika. Hawawezi.
Chai tu inawatoa jasho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebuuuuu.
Hivi nani kakufundisha uchokozi lakini? Maana sina nijualo ujue. [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha roho mbaya mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwakweli anaonekana anapenda sana kufinyiwa ndani humo
HahahahaaaWasukuma wapo hivi:Kuna wakolomije sasa kati ya hao 1 na 2 ndio wanaotuchafua wote!😀...
- Bhanang'weli
- Bhanang'wagalla.
- Bhadakàma (wanyamwezi)
- Bhanyantuzu
Vyote tunataka, vinginevyo utaachwa na chura wakoSasa hivi chura hamtaki mnataka mapishi?
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]o. K..!! niachieni mzigua 90 ,mkinipora huyo mmeuwa [emoji36][emoji36][emoji36]
Mkuuuuuuu
Ngumu kumeza hii mkuu Mgeni wa Jiji:Hivi mwanaume ukamfundishe mkeo kupika?, kwani si alizaliwa na kulelewa kwao??
Jiulize miaka yooote huko kwao alikuwa anafanya nini, mpaka hajui kupika.