Ndio ni nzuri sana,na zinapatikana sana KENYAInfinix hot 6 pro nasikia hizi simu ni nzuri sana, ukweli upoje?
Nzuri kwa watu wa Fb, WhatsApp na Instagram ila kama ni mpenzi wa magemu makubwa makubwa HAZIFAI labda kama ni flagship kama Infinix Zero 5Infinix hot 6 pro nasikia hizi simu ni nzuri sana, ukweli upoje?