Nokia N6 na Infinix S3 ni ipi bora

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,856
2,953
Habari wanajukwaa baada ya simu niliyokuwa nayo kusombwa na mafuriko,
Sasa ni wakati wa kununua simu nyingine na katika kuangalia nikaona kuwa kati ya simu hizo mbili sina sifa nizitakazo maana sina matumiz makubwa sana ya simu.
Bajeti yangu ni 500k ndo maana nikalenga simu hizo japo hiyo Infinix haifiki hiyo bei.
Naombeni ushauri wenu kwa wale wazoefu wa kutumia Infinix na nokia hizi zenye android, ili nifanye uchaguzi sahihi kati ya hizo mbili. Karibuni kwa ushauri wenu..
 
Ungeweka specs za hizo simu mbili, ili tupate urahisi wa kuzi-compare. Hiyo budget yako unapata mid-range nzuri tu.
 
kama ni nokia 6 ya mwaka jana (ambayo kwa asilimia kubwa ndiyo) usinunue na hio infinix pia usinunue. zote mbili zinatumia snapdragon 430 ambayo haijatengenezwa kwa manufacturing process ya 14nm.

kama ni nokia 6 ya mwaka huu sio mbaya kwa hio bei kama utaipata.

Samsung J7 pro zimeshuka bei siku hizi wadau Humu wanazinunua hadi 530,000 ni simu nzuri kwa budget yako.
 
Asante sana chief mkwawa barikiwa ndugu
 
kama ni nokia 6 ya mwaka jana (ambayo kwa asilimia kubwa ndiyo) usinunue na hio infinix pia usinunue. zote mbili zinatumia snapdragon 430 ambayo haijatengenezwa kwa manufacturing process ya 14nm.

kama ni nokia 6 ya mwaka huu sio mbaya kwa hio bei kama utaipata.

Samsung J7 pro zimeshuka bei siku hizi wadau Humu wanazinunua hadi 530,000 ni simu nzuri kwa budget yako.

Redmi 5, imetengenezwa kwa manufacturing process ya 14nm?
 
Daah! I wish hii kampuni ya Xiaomi ikija TZ na wakiuza bei wanazouza online, watamfunika Samsung coz hiyo redmi 5 nimeagiza kwa USD 118 hadi naipokea mkononi.
samsung pia anazo za bei rahisi hivyo kwenye series yake ya ON. sema official nazo hazipatikani Tanzania, zipo nchi zenye competition kama India.

zipo kenya xiaomi kwa bei zaidi kidogo ila ni online tu, Tatizo hapa kwetu hakujakuwa na mfumo mzuri wa kuuza online. ilikuwepo Jumia ila toka waiunganishe na kaymu sasa hivi ni upuuzi tu.
 
Mkuu Samahan hivi redmi note 4x dola ngapi?
 
Banggood na gearbest hizo simu zipo cheap
 
Mkuu Samahan hivi redmi note 4x dola ngapi?
Ila kwa mwaka huu nakushauri uchukue redmi 5 plus (redmi note 5 in India) Kwan ina muonekano wa kisasa zaidi
IMG-20180420-WA0005.jpg
IMG-20180420-WA0004.jpg

Xiaomi Redmi 5 Plus 5.99-Inch 18:9 Full Screen Smartphone 3GB 32GB Snapdragon 625 Octa Core 4000mAh MIUI 9
Utaipata kuanzia USD 150.
 
yah nafahamu ila usubirie sana. na ukilipa shipping premium bei itakuja kama ile ya kenya tu. tofauti ya kenya na online ni around 50,000.
Nakukubali sana mkuu sabab elimu yako imekuwa msaada mkubwa sana hapa jukwaani kwa haya maswala ya technology. Unafafanua kwa kina bila bla bla kama za baadhi ya watu.
 
Back
Top Bottom