Nokia N6 na Infinix S3 ni ipi bora

Nokia N6 na Infinix S3 ni ipi bora

Mkuu nipo njia panda, kati ya xiaomi Redmi 5 plus, 4gb, 64gb versus meaizu pro 6, 4gb, 64gb. Nimesoma user reviews za simu zote mbili kila mtu anavutia kwake. Na najua hizi simu mbili zina os tofauti sana, nimeagiza zote mbili one for my hubby na ingine yangu. I want the best phone of the two iwe ya my wife, sasa sijajua ipi itamfaa
Daah we jamaa si umeandika hapo juu'one for my hubby'?

Na hapohapo unasema 'i want the best phone of two iwe ya my wife"?

Very controversial.
 
Hivi katika hali ya kawaida, waweza kweli fananisha Nokia na huyo mchina infinix?.Tuwe serious wapendwa.
Ni kweli kabisa tuwe siliasi yaani eti jamaa analinganisha Nokia na Infinix dada yake Tecno,daaah!!
 
Nakukubali sana mkuu sabab elimu yako imekuwa msaada mkubwa sana hapa jukwaani kwa haya maswala ya technology. Unafafanua kwa kina bila bla bla kama za baadhi ya watu.
Hata mi mshikaji namkubali sana lkn ajabu nyingine sijawahi kumuona kachangia jukwaa jingine aisee ni mtu tofauti sana
 
Hata mi mshikaji namkubali sana lkn ajabu nyingine sijawahi kumuona kachangia jukwaa jingine aisee ni mtu tofauti sana
Nahisi si mtu wa kupendelea mambo yaliyo nje na taaluma yake
 
Hata mi mshikaji namkubali sana lkn ajabu nyingine sijawahi kumuona kachangia jukwaa jingine aisee ni mtu tofauti sana
Sometimes anakuwepo kwenye jukwaa la Manchester United. Chief ni msaada mkubwa sana.
 
Mkuu nipo njia panda, kati ya xiaomi Redmi 5 plus, 4gb, 64gb versus meaizu pro 6, 4gb, 64gb. Nimesoma user reviews za simu zote mbili kila mtu anavutia kwake. Na najua hizi simu mbili zina os tofauti sana, nimeagiza zote mbili one for my hubby na ingine yangu. I want the best phone of the two iwe ya my wife, sasa sijajua ipi itamfaa
hapo ni effiency vs raw power

kwenye android kuna core za processor za aina mbili zinazotumika zina nickname ya "big little"
-big ikimaanisha core kubwa zenye nguvu lakini zinakula sana umeme
-little ni core ndogo zisizo na nguvu zinazotunza chaji

hiyo xiaomi ipo upande wa little, yenyewe cpu yake haina nguvu kama hio meizu ila itakaa sana na charge na itakuwa na mambo ya kisasa kama kioo cha fashion cha 18:9

meizu yenyewe ina big na little, haitakaa na charge kama hio xiaomi ila itakuwa na nguvu zaidi, pia sababu ni flagship ya zamani probably camera na display vikawa vizuri zaidi, japo sina uhakika sana.
 
Daah! I wish hii kampuni ya Xiaomi ikija TZ na wakiuza bei wanazouza online, watamfunika Samsung coz hiyo redmi 5 nimeagiza kwa USD 118 hadi naipokea mkononi.
Mkuu naipataje hii redmi 5 kwa $118
 
kama ni nokia 6 ya mwaka jana (ambayo kwa asilimia kubwa ndiyo) usinunue na hio infinix pia usinunue. zote mbili zinatumia snapdragon 430 ambayo haijatengenezwa kwa manufacturing process ya 14nm.

kama ni nokia 6 ya mwaka huu sio mbaya kwa hio bei kama utaipata.

Samsung J7 pro zimeshuka bei siku hizi wadau Humu wanazinunua hadi 530,000 ni simu nzuri kwa budget yako.
Mkuu, Samahani!
Hiyo 14nm maanake nini?
 
Mkuu, Samahani!
Hiyo 14nm maanake nini?
njia ya utengenezaji. nm inamaanisha nano meter. kwenye milimita moja kuna nano meter milioni 1.

zipo manufacturing nyingi kama vile 28nm, 22nm, 16nm, 14nm, 10nm etc. ya kisasa zaidi kwa sasa ni 10nm sema inapatikana kwenye simu za mamilioni kama vile s8, s9, iphone 8 etc. hizi za bei rahisi laki 2 au 3 ni 14nm ndio ya kisasa.

jinsi nm inavyokuwa ndogo perfomance inaongezeka (mara nyingi), ulaji wa umeme unapungua pia. hivyo ukiwa na simu ya 14nm itakuwa inakaa na chaji kushinda ya 22nm au 28nm (mambo mengine ya simu yakifana).
 
Daah! I wish hii kampuni ya Xiaomi ikija TZ na wakiuza bei wanazouza online, watamfunika Samsung coz hiyo redmi 5 nimeagiza kwa USD 118 hadi naipokea mkononi.
Vipi mkuu matumizi yake ikoje?
 
Back
Top Bottom