Nokia N6 na Infinix S3 ni ipi bora

Chukua infinix note 5
Bei inayouzwa ni ghali Sana haiendani na hiyo simu. Ningemshauri aagize Xiaomi Redmi 5 Plus 4GB RAM&64GB ROM ambayo kwa Sasa inacheza kwenye 350k-370k. Amtumie hata Mwl.RCT amwagizie
 

Attachments

  • Screenshot_20180722-151020_1532261464698.jpg
    Screenshot_20180722-151020_1532261464698.jpg
    104 KB · Views: 38
Infinix hot 6 pro nasikia hizi simu ni nzuri sana, ukweli upoje?
Nzuri kwa watu wa Fb, WhatsApp na Instagram ila kama ni mpenzi wa magemu makubwa makubwa HAZIFAI labda kama ni flagship kama Infinix Zero 5
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom