Nokia ana fans wengi duniani anahitaji tu decent phone atauza tu. kama alifanikiwa kuuza windows phone sidhani kama android itakuwa tabu.
Nokia X series zilikuwa sio simu nzuri wala hazikuwa na specs kubwa lakini ziliuza sana, website moja tu ya online ya china inayoitwa JD iliuzwa unit 574,000 ndani ya siku 5 tu.
Nokia XL Clocks 574,000 Sales in China in 5 Days
na kuhusu camera, lumia 1020 na Nokia 808 zote zimeuza kwa ajili ya camera tu, watu wengi tena sana wanapenda camera, na nokia pia ana vitu kibao ambavyo toka aondoke sokoni hadi leo hakuna ambae katengeneza vizuri zaidi
-HAAC mics
-Clear black Display (pamoja na Nits)
-Build quality simu ikae miaka 5 hadi 10
pia ukiwa na simu ya Nokia unakuwa na Amani na vitu vyao sio simu za marekani wala china, hawakuibii Data kama wengine wanavyofanya
pia usifananishe camera za samsung na Apple hizo sio proffesional zina sensor ndogo hazina xenon flash, hazina zoom yoyote ya maana etc. japo zinatofautiana uzuri ila pro hawezi acha camera yake nyumbani kwa ajili ya simu hizo