Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,510
- Thread starter
- #41
hii ndio D1Cnokia wamefanya siri sana kwenye kuzindua hii mashine sasa kwanini wazindulie china?na sio ulaya na marekani...
pia HMD GLOBAL watatoa simu kama sita kwa mwaka huu ndio maana wengi wanasubiri waone innovation zao pale Barcelona Mwezi April
tusubiri flagship Nokia D1C labda graphene sensor itaanza
mwc 2017 HMD watakuwepo tutaona simu nyengine za kimataifa pale