Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nimekuwa shabiki wa double line ,na siku hizi ndio kugezo namba moja kwangu.hii ipoje?
 
Mimi wamenikuna sana kwenye audio kwa kusapoti Dolby Atmos maana ni mpenzi sana wa mziki.
 
Nina mashaka na Betri tu kwa specification nyingine ipo safi
 
Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.

Nokia-6_6.png




Nokia 6 Specifications:

  • 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
  • 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
  • Qualcomm Snapdragon 430
  • 4GB RAM
  • 64GB internal + MicroSD
  • 16MP back and 8MP front camera
  • 3000mAh
  • Dolby Atmos
  • 6000-series aluminum unibody
  • Android 7.0 Nougat
Nokia-6.jpg


bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
umekosea processor mkuu, ina snapdragon 505
 
tatizo design yake ni kama wamecopy kutoka kwa samsung.
 
umekosea processor mkuu, ina snapdragon 505
hakuna processor ya simu inayoitwa snapdragon 505 labda umemaanisha gpu ndio ipo inaitwa adreno 505

hii simu soc yake inaitwa snapdragon 430 ambayo ndani ina
-processor yenye core 8 za cortex a53
-gpu ya adreno 505
-modem za x6 lte
-chip za wifi, bluetooth, audio, camera etc
 
samsung ipi? ina element nyingi ya fabula design ambayo ni design ya Nokia.

kwa nyuma
Comparison-Nokia-6-and-620.jpg


kwa mbele
Comparison-Nokia-6-and-930-front.jpg
Mkuu huoni home button yake ya Nokia 6 imefanana sana na ya samsung?
Lumia ndio ina upekee.
 
Mkuu huoni home button yake ya Nokia 6 imefanana sana na ya samsung?
Lumia ndio ina upekee.
mkuu lumia ni mpaka ueke logo ya msft kwenye home button na pia ina design language yake, pia nokia n9 (mwanzilishi wa fabula) haikua na button yoyote.

ila simu za Nokia za symbian ambazo zina menu key zina button kama hio hivyo si vyema kusema ni design ya samsung. kipindi s60v5 zinatoka hakuna samsung hata moja yenye android.

hii ni nokia c7
nokia_701_silver_light_front_1200x1200copy_191306408090_640x360.jpg
 
hakuna processor ya simu inayoitwa snapdragon 505 labda umemaanisha gpu ndio ipo inaitwa adreno 505

hii simu soc yake inaitwa snapdragon 430 ambayo ndani ina
-processor yenye core 8 za cortex a53
-gpu ya adreno 505
-modem za x6 lte
-chip za wifi, bluetooth, audio, camera etc
gpu adreno 505 , nlisoma vibaya , upo sawa mkuu
 
Nokia hawezi kukopi hata siku moja angalia hiyo lumia 930 kitambo ilikuja na edge display before sumsung
Nokia ilitoa mwaka mmoja kabla ya hao copycat

Sent from mTalk
 
Nokia kwenye batteries wapo vizuri mno uliza kuhusu nokia lumia 1520 ilikuwa na mAh 2500 lakini ilikuwa simu bora yenye kukaa na chaji

mhh najifunza kitu hapa ina maana ukubwa wa mah sio kigezo pekee cha ukubwa wa battery?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom