Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nokia edge itakuwa balaa jana nmeona video ya specs zake nadhani mwaka huu kabla haujaisha inatoka
 
baba yao ni iphone mama yao ni samsung hao wengine akina htc,oppo,huawei,nokia,ni akina shangazi binamu na mama wadogo kama tecno,alcatel n.k
 
Dolby Atmos ndo nini Mkuu!?
Atmos ni brand name ya speaker za Dolby ambayo hutumika kwenye kumbi za cinema, majumbani etc wametoa speaker za simu ambazo ni nzuri kushinda speaker za kawaida. hizi speaker zilitumika kwenye flagship ya zte ya axon 7, unaweza ukacheki review za hio axon kwenye upande wa speaker kuona uzuri wake
 
jamaa mbona hajatest camera ya mbele huyu ,, afu naona aosp kama ya xiaomi
sio aosp ni stock android, yaani android ambayo haijabadilishwa kitu chochote toka google.

hizo ndio icons za android 7 nafikiri
 
wale wa flagship utakuja WAHEED SUDAY kuna leaks za flagship ya Nokia hapa

seems kulikuwa na nokia 8 ces kwenye banda la qualcomm kuna jamaa amechukua video

-5.7 quad hd
-super amoled display
-24mp camera yenye OIS na EIS (optical image stabilization na electrical image stabilization) angalia video kuona isivyoathirika na mtikisiko
-nokia logo inayowaka (vita vya matunda vitaanza)
-speaker mbili za mbele
-64 na 128gb storage na 4gb na 6gb ram pamoja na sd card hadi 256gb
-snapdragon 835 au 821
 
mzigo umetulia ,price sijui itakuwa vip
 
Chief-Mkwawa naomba nitoke nje ya mada kidogo, je inawezekana kuweka SSD (Solid State Drive) kwenye Dell Latitude E6400?
ina sata 2 3gbps

ndio unaweka ssd hapo, ila usihangaike kutafuta za bei ghali hizi ssd za kawaida tu zitafaa
 
Kuna duka kariakoo wanauza ya 128GB kwa 180k
hapana aisee ni too much hio bei, used zinapita mitaani around 30,000 hadi 70,000 hivi. mpya ilitakiwa iwe around 80,000 hadi 100,000

na bei ya ssd inaenda na speed usisahau hilo
 
Kwa kuanzia nataka kujaribu hiyo ya 30,000 waweza nielekeza zinapopatikana?
 
za humu humu hizo, kuna jamaa alizileta ila naitafuta ile thread siioni, zipo nyingi mtaani kwa bei ya 70,000 kushuka lakini ni jamaa ambao wanazitoa kwenye laptop za ssd na kueka HDD ili wauze (wabongo wanapenda kuangalia wingi wa gb) cheki kupatana, kkoo likoma jirani na kanisa la kkkt mitaa ile kuna maduka mengi ambayo unaweza kupata
 
Shukrani mkuu,Wacha nikazicheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom