Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.

Nokia-6_6.png

Nokia 6 Specifications:

  • 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
  • 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
  • Qualcomm Snapdragon 430
  • 4GB RAM
  • 64GB internal + MicroSD
  • 16MP back and 8MP front camera
  • 3000mAh
  • Dolby Atmos
  • 6000-series aluminum unibody
  • Android 7.0 Nougat
Nokia-6.jpg

bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
hahahaaaa kopi zake vipi ztakuwa bei gan
 
chaja mkuu tafuta chaja yenye 5 volts na 2A itajaza vizuri tu.
asante kwa ushauri mkuu nitajaribu

swali la nyongeza :
1. kwanini hata battery nikiijaza kwa
kobe nikiingiza kuanza kuitumia
charge inaisha haraka sana tofauti na
kawaida ilivokua?
2. nini kinasababisha mpaka simu
itake kuchajiwa kwa charger yenye
volt kubwa tofauti na ilivokua

natanguliza shukran
 
asante kwa ushauri mkuu nitajaribu

swali la nyongeza :
1. kwanini hata battery nikiijaza kwa
kobe nikiingiza kuanza kuitumia
charge inaisha haraka sana tofauti na
kawaida ilivokua?
2. nini kinasababisha mpaka simu
itake kuchajiwa kwa charger yenye
volt kubwa tofauti na ilivokua

natanguliza shukran
1. hizo volts sio kubwa ni kawaida ila hizo amps ndio kubwa ili ijaze upesi upesi
2. hata kama kuchaji na kobe inaisha upesi pengine una tatizo la hadware (system charge) au software (kuna apps zinakumalizia charge)

jaribu kueka battery monitor yoyote (search playstore) halafu uangalie kama kuna app fulani inakula sana charge
 
Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.

Nokia-6_6.png

Nokia 6 Specifications:

  • 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
  • 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
  • Qualcomm Snapdragon 430
  • 4GB RAM
  • 64GB internal + MicroSD
  • 16MP back and 8MP front camera
  • 3000mAh
  • Dolby Atmos
  • 6000-series aluminum unibody
  • Android 7.0 Nougat
Nokia-6.jpg

bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Vipi sisi tunaopenda nokia za tochi mbona zimeadimika au ndo kweli wamefilisika
 
Vipi sisi tunaopenda nokia za tochi mbona zimeadimika au ndo kweli wamefilisika
hawajafilisika ila department ya simu iliuzwa na sasa hivi department ya simu za tochi imenunuliwa na HMD na Foxconn

wametoa simu moja tu sasa inaitwa Nokia 150, sio kitochi ila pia sio ya bei ghali inauzwa dola 26 hivyo huku pengine ikauzwa 70,000 au ukipata bahati 60,000

nokia-150-2.jpg
 
Nasubiri kitochi , ila microsoft kwa nn hawatengenezi vitochi
 
Chief sijakuelewa aisee hizo bei ni kwa ajili ya nokia 6 au samahani nimedandia treni kwa mbele
 
live stream kwa wanaotaka live leo nokia wanazindua simu zao

Similar Discussions

Back
Top Bottom