macho yangu
Member
- Apr 5, 2017
- 51
- 26
Haisomi chochoteHata ikiwa E? Hapo juu inasoma 3g au E?
Haisomi chochoteHata ikiwa E? Hapo juu inasoma 3g au E?
mnara pia haupandi?Haisomi chochote
Chief kiujumla ni kwamba haisomi kabisa line nowHata ikiwa E? Hapo juu inasoma 3g au E?
angalia imei kama ipo nenda setting then about angalia na baseband kama ipoMnara uko full but ukipiga inaandika "Not registered on network"
Mkuu imei ipo, na upande wa baseband kuna namba hizi I9500XXUAMDEangalia imei kama ipo nenda setting then about angalia na baseband kama ipo
Z1 sony yangu ndio kabisa imepoteza mnara baada kubadilishiwa betriangalia imei kama ipo nenda setting then about angalia na baseband kama ipo
Nadhani ni Microsoft,Hawa Macrosoft wameniharibia mwaka,nimenunua Nokia Lumia 900 wameondoa wasapp na Instagramme,naiona kama simu ya toch tu.Ericsson au Microsoft?
Hizo simu walishazi discontinue toka 2012, zikawa hazina support. PoleNadhani ni Microsoft,Hawa Macrosoft wameniharibia mwaka,nimenunua Nokia Lumia 900 wameondoa wasapp na Instagramme,naiona kama simu ya toch tu.
Hapo uwezekano mwengine ni kwamba imefungiwa na TCRA,Mkuu imei ipo, na upande wa baseband kuna namba hizi I9500XXUAMDE
Pengine fundi amegusa antenna humo ndani, battery yake haitoki kirahisi sio?Z1 sony yangu ndio kabisa imepoteza mnara baada kubadilishiwa betri
Ni nzuri na inakaa Sana na chaji...Good specs ila battery itabuma kwa watumiaji wa 24/7 kama mimi
3000mAh....?? Hapo ndo wamezingua
Tumia Tecno pop 2 plus 5000mAH. 8mega pixel, 16GB,2gb ram, hios. Tecno ni poa sanaWanavokuwa wanatengeneza simu wanajarbu kubana space as possible niliona vid moja wakat wanafanya dizain ...kuna mambo mengi kwenye mother body yanatakiwa yawepo mfano sijui uweke ka finger print mashine ake mara sensor sijui za nn mara kama utataka iwe na stereo speaker mambo kibao space nayo unataka ndogo ndo unakuta inawalazimu baadh ya kampuni kwenye mid or high end wanaeka ka battery kadogo ....mfano ile iphne yenye battery mbil ndogo kama za tochi zilizoekwa mfumo wa L pale ni space ilikuwa limited mpaka wakaamua waweke tu mbil wangeweka moja nene pale haikai ingebid simu labda iwe nene zaidi
Afu kumbuka si kila mtu anajua mambo ya mah hizi mfano kina dada ..wamama hata baadh ya wanaume hawajui...
All in all simu hata iwe aje wafanye optimise vipi kama haijagonga 4000mah siitaki...above hapo nikilijaza uhakika pia litadumu zaidi maana itakuwa sio rahisi li oparate na chaji ndogo hadi kufikia kuzima
Namaanisha kama kwa day unahitaji 3000mah basi kuwa na simu inayoweza provide above hapo may be 4000mah ili kuepuka kufanya full cycle ya battery...ili baada ya matumizi yako unajikuta unabaki na hata 30% where ni kiwango kizuri hutoipa stress kama itafikia hatua inagonga 5%
simu nyingi za mediatek ndio zina mabattery makubwa sababu soc zao hazikai na chaji, simu ya snapdragon ambayo ipo optimized vizuri inaweza kua na mah chache ikakaa sana na chaji.
mfano mzuri ni simu kama sony xperia z3 compact, ina mah 2600 tu lakini inazipita simu kibao zenye 4000 au 5000mah.
![]()
na simu inapokuwa na battery kubwa ndio jinsi inavyokuwa nene na nzito, kuna simu zina robo kilo kiasi kwamba unaona hadi uvivu kuibeba
mhh najifunza kitu hapa ina maana ukubwa wa mah sio kigezo pekee cha ukubwa wa battery?
Ni manufacturing process ikiwa ndogo ndio jinsi inavyokuwa nzuri sasa hivi kuna 7nm na inayokuja ni 5nm.Vipi simu yenye qualcomm Snapdragon 425 ( 28nm ) yenye battery ya 4000mah
Na hzo 28nm ni nini inamaanishaga