dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,600
- 60,836
wamezingua kwakweli battery ya 3000mAh amna kitu kabisahata mimi hao hapo wamenivunja moyo..wenzao wanaongelea 4100 mah
wamezingua kwakweli battery ya 3000mAh amna kitu kabisahata mimi hao hapo wamenivunja moyo..wenzao wanaongelea 4100 mah
Simu gani ina 4100mAH?hata mimi hao hapo wamenivunja moyo..wenzao wanaongelea 4100 mah
mkuu kuhusu battery life iko vizuri pia wiki iliyopita imefanyiwa test ya batteryWarudi tu....hawa Samsung na IPhone wameanza kujisahau!🙂
Power/battery ni issue kubwa kwa smart phones. Atakayeweza kupata suluhu mapema kuliko wengine, atafanikiwa pakubwa!
kuanzia mwezi wa 5-6 itakuwa imeshafika bongoNi lini hasa itafika bongo manake mie mwenyewe nazichanga ili niweze kua nayo
ngoja niuze hii Lumia 650 yangu
Wametumia Amoled ya Tecno. Inaonekana kama tecnohapo kwenye display wangetumia Amoled ya samsung wangenishawish ninunue hiyo simu
Wametumia Amoled ya Tecno. Inaonekana kama tecno
Tecno L8 ina 5050mAhSimu gani ina 4100mAH?
Umesema ukwel ndugu, mi ninatumia Vodafone VF685 yaan kwa upande wa betri cnaga hofu, nahisi kwenye utengenezaji kuna muda huwa wanafanya kwel yaan chaj inadumu mpaka nahisi betri inaenda kuharibika kwa namna navyoitumikisha kwa games, radio na data.Tatizo la smart phone ni battery..
Betri kama kimeo hata simu yako iweje
vodafone vf685 ni simu ya kawaida kwanza display sio HD au full HD pia low-end phone hivyo kuhusu battery ni lazima itakaa na chaji na hata app ambazo utatumia kwenye hyo vodafone yako hazizidi 500mbUmesema ukwel ndugu, mi ninatumia Vodafone VF685 yaan kwa upande wa betri cnaga hofu, nahisi kwenye utengenezaji kuna muda huwa wanafanya kwel yaan chaj inadumu mpaka nahisi betri inaenda kuharibika kwa namna navyoitumikisha kwa games, radio na data.