Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,602
- 3,396
Mkuu, Hapa tunazungumzia aina ya simu iliyopo sokoni au bidhaa zote za Nokia? Kuna sehemu nimetamka Nokia wana bidhaa mbovu? Anywaymkuu nahisi umeanza kutumia smartphone miaka hii 3 iliyopita,nokia sio simu tu anafanya bali ni vitu vingi anatengeneza ebu google neno "withings" utakubali vitu anavyodeal navyo nokia
Maswala ya kuanza kutumia smartphones nimeanza hata wewe haujavunja ungo.