Nokia android smartphone ujio wake bado kizungumkuti

Chief, Nimeiyona galaxy J7 2017 MAX wametumia SOC za mediatek helio p20 ila RAM DDR4 na ROM 32Gb.. ila J7 pro ina balaa 64 gb but SOC ni exnyos
mkuu ni nadra sana kukuta soc nzuri ya mediatek, ila p20 ni nzuri, imetengenezwa na manufacturing technology ya 14nm hivyo haina tofauti sana na sd625. sema still kioo ni lcd hawajatumia super amoled. simu ya samsung isiyo na amoled huwa naiona ya kawaida sana.

hii j7 pro inayo super amoled lakini inatumia soc ya zamani 7870 ambayo imeshatumika kwenye simu za mwaka jana, pia naona gpu yake ya kawaida sana.

mi nasubiria j7 ya 2017 kwanza kama tetesi zipo sahihi itakuwa na sd625, 3Gb ram na full HD super amoled, hivyo itakuwa nzuri kushinda hizo hapo juu.
 
Tetesi zinaonyesha pia J7 2017 inaweza kuja na Soc ya exnyos 7870 ya mwaka jana.
 
kama unamatumizi mengi sd430 ni ndogo sana, subiria sd 660 ambayo ni mziki mnene kwa midrange na tofauti yake na flagship soc kama sd835 ni asilimia kama 15 tu hivi.

hata mimi nasubiria Nokia 7 au 8.

jamaa niliemuona hua anauzia fb tu na mzigo nyumbani mcheki hapa.

High Life Tanzania
Nokia 7 zinatoka lini?
 
samsung_galaxy_j7_pro_and_j7_max_unveiled_in_india_focus_on_social_camera_and_samsung_pay
 
sina uhakika aisee ila bei za huko ni
-Nokia 3 ni AED 500 sawa na tsh 304,000
-Nokia 5 ni AED 650 sawa na tsh 396,000
-Nokia 6 ni AED 800 sawa na tsh 487,000
nataka nifumbe macho nichukue huawei p9 naona hii nokia 6 Soc yake ya 430 ni ndogo kwa matumizi yangu hasa upande wa heavy game hasa zile za 3D games
 
tayari zimeanza kuuzwa wiki hii dunia nzima, kuna baadhi ya watu naona wanauza hapa bongo ila 850,000. subiria pengine wiki au wiki mbili zitajaa aggrey. sema nina wasi wasi sana na bei tutakazouziwa huku,
Hiyo inayouzwa 850,000/= ni Nokia ngapi mkuu??
 
nokia.PNG
 
Back
Top Bottom