No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,254
Reaction score
4,466
Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa

Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo

Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa

Mtumishi wa UMMA, uwe msomi wa Degree na hata Phd au kiwango chochote kile, huwezi kumfikiaa mbunge darasa la saba aliye kaa bungeni kwa miaka mitano akabutua kiinua mgongo chake cha Milion mianne na wakati huo huo, wewe unakaa kazini miaka 30 n.k, umejutahidi sana ni 100M, Je hapa hakuhitaji REFORMS?

Chadema wameona mbaali sana hawa watu,

Mfano, Mwalimu mwenzangu, Posho ya mwezi imezidi saana ni 1.M, wengine wetu ni elfu mia tano hadi mia saba hapo

Umestaafu, unapata kiinua mgon5fo chako cha 60 mpaka 70.M

Wakati posho tu ya mbunge kwa miezi yake mitatu ni sawa na kiinua mgongo chote cha Mwalimu kwa miaka yote aliyokaa kazini, ajabu ndiye anayetazamiwa kuipitisha CCM iingie madarakani bila ya kuwepo REFORMS

Daktari anafanya kazi nzuri sana katika nchi na huwenda ndiye mtu mhimu sana katika sector ya watu mhimu, cha ajabu na yeye, kiinua mgongo chake, hakifiki hata nusu ya kiinua mgongo cha mbunge

Kuupata Udaktari ni utulize kichwa haswaa, miaka kibao unautafuta, cha ajabu mtu aliyeishia darasa la saba ndiye anayemtungia sheria za kipi afanye na kipi aache 😁

Nchi yangu Jamani??
 
Weka vizuri kichwa cha Habari; Sema; ''N.R.N.E IHUSISHE PIA SEKTA MUHIMU ZA KITAALUMA ZOTE NCHINI MISHAHARA IWE KAMA NA WABUNGE AU KUSIPISHANE SANA''
 
Reforms kila sehemu Tanzania Inaitaji kupata Rais mzalendo msomi ambae ana misiamo itakua vizuri aliesoma sheria hii kwanza upande wa sheria nyingi za ovyo katiba yenyewe Inaitaji nyingine kwendana na wakati population Understanding wa watu kwa sasa ni tofauti wa wakati wa Nyerere Technology
 
Ni serikali hii ya CCM ndo ilileta kikokotoo ili kuinusuru Mifuko ya Jamii, Baada ya JPM kuchotamo hela huko.

Hii ilikua inatosha kwa watumishi wote wa umma kupata workup call, na kuungana na CDMA kudai Reforms
 
Hao watumishi unaowatetea hasa Askari na waaalimu ndio watu husaidia CCM kushinda kwa goli la lazima sasa unawaonea huruma wa nini..?
 
Back
Top Bottom