haki za watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Karatu, Arusha: HR katika hospitali ya Foundation for Africa Medicine and Education anatakiwa kuchunguzwa kwa tuhuma hizi

    Tunaiomba Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na mamlaka nyingine husika kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu malalamiko na tuhuma mbalimbali zinazodaiwa kumkabili Bw. Emmanuel Tarimo, anayehudumu kama Meneja wa Rasilimali Watu katika Hospitali ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani japokuwa ana mapungufu, Mkwere apewe maua yake kwenye kutetea haki za watumishi

    Maofisa utumishi wengi hasa ngazi wilaya na halmashauri wananyanyasa watumishi. Wanaonea wivu na kuwanyanyasa kana kwamba ni watumishi wao wa ndani Watu wanabaniwa kupanda madaraja kwa chuki binafsi. Mimi binafsi nampongeza mkwere kwa namna anavyokemea haya maonevu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi Pori la Akiba Maswa umeshindwa kusimamia Haki za Msingi za Watumishi wake

    1. Kumekuwa na utaratibu wa kusitishwa likizo za Watumishi wanapokuwa likizo na Afisa Mhifadhi II Fundi kwa kigezo cha uhaba wa Watumishi, pia kukataa kutoa ruhusa mbalimbali kwa Watumishi wakiwa na changamoto. 2. Kuna Watumishi wapatoa 6 hawafanyi majukumu yoyote ya Doria bila sababu za msingi...
  5. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Hasara za PEPMIS kwenye haki za watumishi

    Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku. Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi...
Back
Top Bottom