🤣🤣🤣🤣Ukiona mtu anakuchapa kwa hilo tukio jua tayari kashapata sehemu nyingine ( greener pastures) ya kuhemea.
Hii tabia Mara nyingi inaendekezwa na wanawake.
Kuna mtu huko nje kashapigwa kibuti na Nakadori😂
Nimefurahi uko single Sasa,lile jibu langu vipi mrembo?Heri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.
Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Improtou dumping that is😂, I can't imagine the degree of pain one can feel in that situation.🤣🤣🤣🤣
See Baby it can't work between us.... we just have to end it here...
Thanks for the sweet moments we shared and sorry for the bad ones...
Sorry love
Na hapo umepelekwa kwenye bongeeee la dinner...unaweza tamani kupaa au kutapika ulicholishwa 🤣🤣🤣🤣
Wapo ving'ang'anizi wanaokataa kuachikaImprotou dumping that is😂, I can't imagine the degree of pain one can feel in that situation.
Hapa unaweza hisi Dunia yako imefika mwisho ghafla.
💯🤝 KweliHeri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.
Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Ila dalili za kuachwa huwa zinaanza kuonekana mapema tu.Ukiwa sharp minded then probably you'll be the first one to take the move😂 Yaani Ile yeye anajiandaa kukupiga " character development" wewe ushajiongeza tayari kwa kumove on.Wapo ving'ang'anizi wanaokataa kuachika
Sasa baada ya hapo hakuna picha wanaacha kuona
Umeuliza kwa sauti kuu.
Mmeshaachana
Wa Mitego?Nimemkumbuka ney wangu,wish u all the best.
Wapo wasioonesha hataIla dalili za kuachwa huwa zinaanza kuonekana mapema tu.Ukiwa sharp minded then probably you'll be the first one to take the move😂 Yaani Ile yeye anajiandaa kukupiga " character development" wewe ushajiongeza tayari kwa kumove on.
Watu wengi hawajui kusoma alama za nyakati,wakipigwa kibuti Cha ghafla wanagala gals Kama watoto wadogo.
Wapo wasioonesha hata
Unakuta umemtunuku mtu tunda amenogewa...ashaanza na wivu za kijinga za kutaka kujua ratiba na why kweny video call hukuonekana vizuri kama vile unaficha kitu...then out of no where unampiga cha mbavu kwa style ya am sorry it can't work coz of this and that.....
Sijaachwaa mkuuUnakuaje na mwanaume mmoja mrembo
Ungekuwa na wawili sahivi ungekuwa unajiliwaza kwa mwengine baada ya kumuacha huyo jamaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Dunia ina majasusiiiiDuh! Indeed that's a very diplomatic way of parting ways.I can't even know how I can cope up with the situation if I was the victim 🤔 Bt the bottom line of is that you just have to accept the outcome and move on swiftly