No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

wabunge wote mliopo humu jamvini,tafadhali hili suala ni nyeti sana tunawaomba muandae hoja likajadiliwe bungeni au hata maswali ya papo kwa papo mh Pinda waziri mkuu atoe kauli ya serikali hili suala atuwezi kulifumbia macho hata kidogo

hivi kweli unatarajia Pinda atoe tamko gani la maana kuhusu hilo??!!
 
Nimemsikia jana akisema CCM hoyeeee mara tatu.
 
China na mwigulu ndo asili ya mabomu ya arusha. Huo ndo udugu wa china na ccm.
 

Mkuu Mag3

What was done by Mr Ambassador Lu is not only totally unacceptable, but immoral and unethical. My suspicious that CCM machinery has shifted its core mandate as a political party and redefine itself as an Auction Agency have now been evident. So, although there are delays among Tanzanians to decide against CCM and her allies, I suppose it is high time now to make some concrete decisions that will keep CCM away from our political platform.
 

mkuu nashukuru sana kwa bandiko lako murua!
 
Tusishangae kukuta wachina wana kadi za CCM na baadaye kuchaguliwa katibu mkuu wa CCM mchina!!
 
Alienda kama mtu binfsi na si kama mwana diplomasia. Hayo ni mambo binafsi hayaingiliani na uongozi wa kidiplomasia. Ha ha ha

If that is the case,alizungumzia uwekezaji wa China nchini Tanzania kama nani?Kama mtu binafsi?Unaelewa maana ya Functions,immunity and privilleges za Diplomats.?Unajua code of conducts?Ni lini Balozi anajivua ubalozi wake pamoja na kinga na hisani zote awapo nchi mwenyeji?Be serious!
 
Balozi hakuwa pale kiofisi.

Case closed.


Ambassador Lu Yuoqing is more than just an interlocutor, he's an official representative of China state in the United Republic of Tanzania with full diplomatic mandate.

This is contempt to our freedom and democracy, it's an embarrassment to his own country. Shame on him.

Thanks Mag3 for bringing this into our attention, conglatulations Ben Saanane for the initial measures. JF is the leading media house for Tanzanian news, I do believe the echo has now reached all concerned diplomatic corridors.

Let's join hands in reprimanding this to set out a living precedence.
 
Last edited by a moderator:
Mpaka muda huu hatujaandaa petition tuitume UN?

Hili tukio sio kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Huyu balozi anajua anachokifanya. Ndio sera ya China mpya - kuvunja sheria na kanuni za kimataifa alimradi wanapata wanachokitafuta. Kwa sera hiyo, China imekuwa haioni aibu kuunga mkono tawala dhalimu alimradi zinawawezesha kuchota rasilimali kutoka nchi husika. Mifano ni mingi ikiwa ni pamoja na Sudan, Mugabe, Al-Assad, nk. Wachina wana kiburi sana, wabaguzi, wadhalimu. Ninaunga mkono hoja ya kupeleka petition UN angaa kwa kuonesha kuwa Watanzania sio wajinga (lakini tukijua kuwa hakuna lo lote ambalo UN inaweza kuifanyia China. Sisi wenyewe hapa hapa nchini ndio tuweke mikakatti yetu ya kuwaadabisha hawa wadhalimu). Kama kuna mtaalamu wa kuandaa petition online tafadhali tuletee tutaangusha saini zetu.
 
Ombi langu kwa Invisible thread sensitive kama hizi wavuta bangi wote wa JF wanyimwe access ili watu wenye akili zao timamu ndio wawe na access ya mijadala mizito kama hii.
 
Last edited by a moderator:
We should write to:
Peoples Republic of China Embassy,
Ambasador: Mr. Liu Xinsheng
P. O Box 1649,
Toure Drive, Dar es Salaam,
Tel: +255 22 2667475
Fax: +255 22 2666353
Email: chinaemb_tz@mfa.gv.cn
Liu Xinsheng? Mbona thread inasema anaitwa Lu Yuoqing. Kama hilo jina uliloweka ni sahahihi basi Nape na Kinana wahuni, wamepeleka balozi feki kwa watu wa shinyanga balozi feki. Wasukuma wa watu wanacheza ngoma kwamba wametembelewa na "balozi wa china" kumbe wamepelekewa "balozi wa kichina'.
 
inawezekana kabisa yule ni balozi feki, wachina kwa vitu feki wanaongoza.
 
The only way the chinese can exploit tanzania is to keep CCM in Power, this is unacceptable and it has distorted the chinese foreign policy completely, hicho ni kitendo cha kihuni kabisa
 
Wenje hebu jiuzuru hiyo nafasi ya mambo ya nje. It's pity that hadi sasa hujasema chochote kuhusu huu ufirauni wa balozi wa China. What are you doing Mr Wenje, the cap is not fit for you?
 

Hujaeleweka sijui ni kwa sababu ya kiingereza au huna point, please work out lakini ukiongea kiswahili utaeleweka zaidi na users wa mtandao huu, samahani lakini
 
The only way the chinese can exploit tanzania is to keep CCM in Power, this is unacceptable and it has distorted the chinese foreign policy completely, hicho ni kitendo cha kihuni kabisa
intelijensia ya china imeshindwa kugundua kuwa ccm haitakiwi?
 
Hujaeleweka sijui ni kwa sababu ya kiingereza au huna point, please work out lakini ukiongea kiswahili utaeleweka zaidi na users wa mtandao huu, samahani lakini

Lugha inakusumbuwa tu, ameeleweka vyema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…