No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

Hii ni kweli.Hata kwa baadhi ya wanasiasa haya masuala ya kimataifa ni kama vile hawajui.Inashangaza sana sana na kuna uwezekano tukapata Rais ambaye ni ignorant kabisa kwenye masuala ya kimataifa.Misconduct iliyofanya na Diplomats hadi muda huu masaa 48 yanakaribia kupita lakini hakuna kiongozi wa juu wa vyama vya upinzani anayeona hatari
Ben!wewe uko katika position nzuri ya kumkumbusha @Dr W.P.Slaa acha kulalama mwambie ukweli
 
Huyu balozi wa China dawa yake ni kumfanyia maandamano aondoke Nchini...! Sababu kubwa ya maandamano iwe kuipinga China kuingilia mambo ya ndani ya Nchi yetu nadhani ujumbe utafika na soon ataondolewa kurudishwa kwao!!
 
Vienna Convention on Diplomatic Relations
1961
Article 42
A diplomatic agent shall not in the receiving State practise for personal profit any professional, politics of any party or
commercial activity.

Article 41

1.Without prejudice to their privileges and immunities, it is the duty of all persons enjoying such
privileges and immunities to respect the laws and regulations of the receiving State. They also have a
duty not to interfere in the internal affairs of that State.
 
Walianza kuwapandisha jukwaani watendaji wa serikali ambao wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi wenye itikadi tofauti wameona haotoshi wameamia kwa mabalozi.Days are numbered.
 
Ukiwa huna wananchi wanaotaka accountability..........[/QUOTE]
Hapa penye red ndipo ulipouwa tuuuuu na ndio tatizo la msingi la nchi hii na ndicho kinachowafanya viongozi ku.nye.a midomoni mwetu
 
Kuna kipindi Ben Mkapa na hata Jk walishawaita Mabalozi na kuwapiga mkwala, na kuwaambia wasiingilie masuala ya ndani ya nchi hasa masuala ya kisiasa, na waliwaambia kabisa kua waheshimu Vienna conventions, sasa nashangaa kuona chama chao ndio kinakua kinara.

Kwa hawa viongozi wetu mabalozi wakiwa upande wao hakuna tatizo!

Shida inakuja pale mabalozi wanapoonyesha kutokukubaliana na mitizamo yao!
 
Wote hao ni majambazi wala sioni shida majambazi kudumisha mila zao dawa ni kuwadharau tu na kuwachemshia muarobaini
 
Even "chama makini" CHADEMA missed this out? Au Vienna Convention kwao pia ni nightmare?
 
Vienna Convention on Diplomatic Relations
1961
Article 42
A diplomatic agent shall not in the receiving State practise for personal profit any professional, politics of any party or
commercial activity.

Article 41

1.Without prejudice to their privileges and immunities, it is the duty of all persons enjoying such
privileges and immunities to respect the laws and regulations of the receiving State. They also have a
duty not to interfere in the internal affairs of that State.

Ni jambo la ajabu sana kwa nchi kama China kutuma Balozi ambaye anakanyaga sheria za kimataifa na hasa mkataba wa Vienna ambao China ilikua mojawapo wa mihimili mikuu katika kuhakikisha article zote 53 za mkataba wa vienna zinatungwa na kuwa muongozo.

Hii ni fedheha kwa taifa ambalo ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa(UNSC) kuonyesha weledi wa kiwango cha chini kidiplomasia.Tutamuaibisha!

Kazi zake zinatakiwa zi-evolve kupitia article 3


Article 3 (1)

The functions of a diplomatic mission consist inter alia in:
  • representing the sending State in the receiving State;
  • protecting in the receiving State the interests of the sending State and of its nationals, within the limits permitted by international law;
  • negotiating with the Government of the receiving State;
  • ascertaining by all lawful means conditions and developments in the receiving State, and reporting thereon to the Government of the sending State;
  • promoting friendly relations between the sending State and the receiving State, and developing their economic, cultural and scientific relations.

Ni mahusiano ya state na state na sio Party - to- State hata kidogo
 
urafiki wa china na Tanzania si wa kukutana barabarani ulianza miaka mingi sana tangu enzi za Mao Tse Tung!! so acheni blah blah zenu
 
Tuanzishe kampeni ya kuwamwagia tindikali awa wachina waliozagaa mitaani... Tukifanya kama mara 2 au 3, akili zao zitawakaa vizuri...
 
urafiki wa china na Tanzania si wa kukutana barabarani ulianza miaka mingi sana tangu enzi za Mao Tse Tung!! so acheni blah blah zenu

Hatukatai China kuwa rafiki wa Tanzania,Tunachopinga ni balozi wake kuingilia mambo ya ndani ya Nchi na usitake kutuaminisha kwamba Nchi yake imemtuma kufanya alichokifanya!....
 
...kweli magamba yameelewa hadi yameanza kutuletea mamluki!...leo 2013 wametuletea balozi wa China kwenye jukuani la siasa, kesho 2014 mawaziri(hata rais) na keshokutwa tusijekushtuka likiletwa jeshi la China kuokoa jahazi kama Lipumba alivyofanya 2010...
 
Alienda kama mtu binfsi na si kama mwana diplomasia. Hayo ni mambo binafsi hayaingiliani na uongozi wa kidiplomasia. Ha ha ha
 
Sure mkuu foreign diplomats should learn mambo haya, je kila balozi ikiamua kuunga mkono chama fulani nchi hii itakalika?they should learn that their place is not in our country's internal politic
 
Thread kama hizi wataalamu wakuchangia siwaoni,wakati ni issue inayohusu taifa letu. Tuamke watanzania wakati ni sasa. Kitendo cha balozi hakikubaliki!
 
Back
Top Bottom