No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

Wenje hebu jiuzuru hiyo nafasi ya mambo ya nje. It's pity that hadi sasa hujasema chochote kuhusu huu ufirauni wa balozi wa China. What are you doing Mr Wenje, the cap is not fit for you?

Ngoja nimlete kwa maudhui ya picha labda akiwa anapitia hapa JF ataelewa tunaimanisha nini

images
 
Wenje hebu jiuzuru hiyo nafasi ya mambo ya nje. It's pity that hadi sasa hujasema chochote kuhusu huu ufirauni wa balozi wa China. What are you doing Mr Wenje, the cap is not fit for you?
Weenie it is too late, mid yo Amanda watanzania bado wana wasiwasi an utendaji wa viongozi wengi wa CDM.Wenje ni reactive badala ya Kuwait proactive.hii ni hatari kwa CDM
 
Does the ministry of foreign affairs know this?

Of which country? If it is BM, he knows it and shall support it cause, if he goes against it, EL will loose the title of Presidency Elect.
If it is the Chinese, they know what they are doing bro. They are just doing it to show Obama that they are at home now. Sipping Mtwara gas.
Mtz gani atauliza???
 
China wajanja sana, wameisoma seriksli ya ccm, wakaona watuletee balozi atayejifanya hajui majukumu yake ya kibalozi ili awafanye watawala wafurahi. Waliteua mtu atakaejifanya anafanana na hao alio nao hapo (Nape na Kinana). Hilo ndo jembe lao hapa tz linalowafurahisha watawala ili wafanikishe malengo yao kirahisi kabisa.
 
Kila siku mnawasifia hawa wachina sasa naona mtafunguka akili
 
Viongozi hawawezi wakaona hatari kama jamii inayoathirika haioni hatari. CCM wanapata kile wanachokitaka na Wachina nao wanapata kile wanachokitaka huku wakifahamu madhaifu ya wananchi na vyama vya upinzani.

Mmarekani Charles Kettering aliwahi kusema, problem well stated is a problem half solved kwa maana kuwa, kama wananchi wengi watatambua kama hili ni tatizo la msingi basi watawashinikiza viongozi kulitatua na katika shinikizo hilo, itabidi viongozi wafanye juu chini kulitatua.

Vyama vyetu vya upinzani nafikiri wanadhani hii siyo prime concern na hata kama wanafahamu, basi labda wanaogopa kujitokeza officially kulalamika. Huwezi kuwa na viongozi wanaofumbia macho foul za kisiasa zinazofanywa na Barozi za nchi zenye nguvu ambazo pia ni wahisani kwa kuhofia kuwa politically isolated.

Cha kushangaza CHADEMA ina Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki ambapo kwa umuhimu wake ina Mawaziri kivuli wawili ambapo Ezekiah Wenje yuko kama Waziri na Naibu Waziri ni Ibrahim Khamis lakini wote wako kimya unofficially and officially kama vile hawafahamu majukumu yao ya msingi. Where are Ministers in waiting when they are needed most?

Quick and official reaction kutoka kwenye vyama vya upinzani na hasa CHADEMA kwenye mambo kama haya kutaongeza taswira chanya kwenye macho ya jamii ya Watanzania wanaofahamu nini maana ya international relations, na kwa kufanya hivyo, it'll reinforce CHADEMA quintessence of political professionalism kuonyesha wamejipanga na wizara kivuli iko active.

Honestly, vyama vya upinzania na hasa CHADEMA wanatakiwa kujipanga kwa mambo makubwa na madogo kama kweli wako very serious na kile wanachokihubiri na hii lazima ianzie kwenye wanachama wao. Siyo kazi rahisi kukabidhiwa nchi kwa utendaji wa aina hii na hasa kulingana na historia ya TANU, ASP na CCM.

Siasa za kishabiki na kinafiki kutoka kwa wanachama na washabiki wa vyama vya upinzani haziwezi kuvifikisha mbali vyama vya upinzani zaidi ya kwenye mabaraza ya madiwani na bungeni.
Mkuu kwanza CCM watambue kuwa ni jambo la hatari kwa mustakabali wa taifa. Hivi kesho balozi wa Marekani akisimama na Chadema, Balozi Iran akasimama na CUF, n.k. nchi itakuwa katika hali gani. Huu ni ukiukwaji wa sheria za kimataif na unatakiwa uonyeshwe duniani kote.

Hili la Chadema na Wapinzani nimeshaliongelea mara nyingi sana sidhani kama wananielewa na kama wananielewa basi wanapuuza. Nafarijika kuona kuwa mimi si 'mwendawazimu' peke yangu kumbe tupo wengi.

Niwaalike akina Ben Saanane Tumaini Makene Mungi Mikale P Aweda watusaidie kidogo.
Hivi hakuna yoyote aliyeona tatizo hili na kutumia fursa hiyo kuufahamisha uongozi kuhusu ukikukwaji huu wa haki za binadamu na kuiweka china on the spot!

Hili si jambo dogo hata kidogo, najaribu kufikiri lingefanywa na Chadema leo ingekuwa nini katika vyombo vya habari.Fursa za namna hii ndizo za kuufahamisha ulimwengu uelewe nini kinaendelea.

Nilitarajia Chadema wangekuwa wameshamwandikia Dean of Diplomats na taasisi za kimataifa kuhusu tatizo la China kuingilia mambo ya ndani ya kisiasa ya Tanzania.
Mag3 kalieleza vizuri sana hapo juu sijui wanasubiri nini.

Wapinzani wanapaswa kuwa 'on top ' of the game kila wakati.
Kwa upande huo nadhani bado wana tatizo kubwa sana lazima tuseme wazi.
 
Mkuu Nguruvi3, yawezekana tunazo tofauti zetu kiitikadi na pia yawezekana hizo tofauti zikaleta kutoelewana kwa kiasi fulani miongoni mwetu lakini sisi sote ni familia moja, Watanzania. Ugomvi wetu ni wa kifamilia na ni kawaida wanafamilia kutokubaliana katika mambo fulani fulani lakini kamwe tusikubali kwa namna yoyote ile kumpa fursa mgeni atubague. Huyu balozi kwa kitendo chake cha kuinadi CCM tafsiri yake ni kwamba tayari anawabagua wengine kiitikadi kwa kuchagua Watanzania gani awaunge mkono.

Kabla hata kuulaumu upinzani kwa kuchelewa kukemea hili jambo, mimi binafsi namshangaa Waziri wetu wa mambo ya nje, Membe, kufumbia macho kitendo hiki cha kijinga. Nilitegemea kwamba mpaka muda huu tayari waziri angekuwa amesham"summon" huyu balozi na kumtaka atoe maelezo kwa nini anaingilia mambo ya siasa ya ndani ya nchi yetu. Najua China wana kiburi lakini lugha ambayo wangeweza kuielewa kwa upesi ni tamko kali la serikali dhidi ya kitendo cha balozi wao aliyeonesha umbumbumbu mkubwa kidiplomasia.

Pamoja na hayo tabia ya Upinzani kukaa kimya vitendo kama hivi vinapotokea bila kuvikemea mara moja na kwa wakati muafaka inazidi kuwajengea CCM jeuri ya kujifanyia wanavyotaka bila kujali athari za vitendo vyao. Labda tujiulize; je yawezekana ni CCM ndiyo imebariki upuuzi kama huu? Tumemshuhudia kiongozi moja wa juu wa CCM akimtembeza kwenye majukwa muathirika wa tindikali kama msukule katika kuinadi CCM na hakuna mwana CCM hata moja aliyeweza kukemea hiyo tabia ya kishenzi na sasa wanatembezwa Wachina, tena balozi!
 
Mkuu Mag3 zpo sababu ninazodhani ni muhimu kuwalaumu wapinzani kwa haya yanayotokea.

1. Sauti ya wapinzani ni tofauti na mtu binafsi. Wao wanaweza kuwasiliana na Dean of Diplomats kumweleza nini kimetokea na kwanini wana concern

2. Matukio kama haya si ya kuachia CCM na mawaziri wao wafanyie kazi ni kupoteza muda na fursa
a} Balozi wa China aliambatana na katibu mkuu wa CCM kinana anayejua taratibu za kidiplomasia
b} Waziri Membe, mhusika kwasasa anawania nafasi ya uteuzi hivyo atamwambia nini Katibu mkuu wa CCM
c} Woga wa mawaziri kwa kujali nafasi zao na si taifa
1) Waziri wa mambo ya ndani lini umemsikia akilaani au kuzungumzia madawa ya kulevya
2} Harakati za mama Tibaijuka kuhusu majengo zimeishia wapi
3} Lini waziri wa mali asili na utalii umemsikia akizungumzia tembo wanavyoputika.

Huu ni mtandao unaojali masilahi yao na si ya taifa. Kuwategemea hawa katika jambo la hatari kama hili ni hatari kwa kuanzia. Membe hawezi kumkemea katibu mkuu au mwenyekiti wake.

Wapinzani lazima waonyeshe kuwa wapo tayari kuchukua dola na wapo tayari kusimamia sheria za nchi kwa manufaa ya nchi. Yes, kila jambo lina umuhimu lakini sidhani jambo hili linaweza kuwa na umuhimu kidogo ukilinganisha na mambo yaliyotokea wiki iliyopita.

Endapo wapinzani watapuuzia au hawaweza ku-spot jambo kama hili, ninakuwa na wasi wasi zaidi ya wasi wasi wa balozi wa china'kutembelea matawi ya chama''.

Lakini kibaya zaidi ni pale hatari hii inapotokea nchi ikiwa na uongozi na uongozi huo haoni kama ni tatizo kwa siku za baadaye. Kuruhusu wageni kusimamia na kupanga shughuli zetu kama balozi wa China anavyoonekana kuanza ni jambo ambalo uongozi wa nchi yoyote hauwezi kuuvumilia.
 
ningekuwa na uwezo wa kuwamiminia risasi kama mvua wachina wote waishio hapa nchini ningefanya hivyo mara moja, wanajitanua sana hawa wadudu, wapo huru kufanya lolote kuliko sisi wenyeji, dah! inaniuma sana zumbemkuu.
 
Hujaeleweka sijui ni kwa sababu ya kiingereza au huna point, please work out lakini ukiongea kiswahili utaeleweka zaidi na users wa mtandao huu, samahani lakini

Ameeleweka vizuri sana, kama unahitaji atumie lugha unayoielewa vizuri tumia approach nzuri
 
Mag3, congrats for your observations.
China Communist Party has a special, unique and an isolated mission with CCM and JK as a whole. Chinese govt is no longer a soliast but a new emerging imperialist.
Wachina tumewapa Kiwanda cha Urafiki, wamekigeuza bohari! Tumewapa, sijui kipi kinaendelea. Bomu walilipigwa CDM Arusha na kuuwa Watanzania wasio hatia, limetokea China! Bidhaa feki zisizo kiwango zinatokea China! Bandari mpya ya Bagamoyo wanamilikishwa Wachina!
Siamini kama China hii ni ile ya Mao!
 
Huyu Balozi angevaa Magwanda ya CHADEMA, serikali na CCM wangekaa kimya kweli?
 
EXACTLY Chinese are becoming monster to the poor people of Africa/Tz, the former famous communist are now the most corruptive and exploiters of African resources with dubious deal example this of CCM ruling party of Tz and the most brutal govt in the world CHINa, but am sure people of Tz are no foolish like ccm cadres just wait 2015.
Poke Like kubwa Sana,
Jana nilipoona hiyo coverage kwenye TV Ili ndilo jibu lililokuja kichwani kwangu.
 
does it means that china is supporting CCM? How can an ambassador address a political rally? this is not acceptable. this is so dangerous to Tanzanian democracy. We need to write to the UN, EU, and other world big nations and bodies to complain about this violation of international laws. We can also sue China regarding this violation. I wonder why Legal and Human Rights Center and other legal firms have not issued a statement to condemn this violation of international laws.
 
The functions of diplomatic agents are described in Article 3 of the 1961 Vienna Convention and diplomats are expected to be fully aware of the diplomatic norms and practices under the Convention. One such norm envisages that Ambassadors posted in other countries should refrain from publicly expressing their views on internal politics.

The Vienna Convention, Article 25(1) dictates that the State shall base its international relations on the principle of respect for national sovereignty and equality, non-interference in the internal affairs of other countries...So, it follows that diplomats have no right at all to interfere in our internal politics as par Vienna Convention and also as par laws of the land.

26.jpg

In this picture, the ambassador from the Peoples Republic of China, Mr. Lu Yuoqing, flanked by the CCM Secretary General, Abdulrahman Kinana on his right and CCM Publicity Secretary Nape Nnauye on his left, addressing a CCM political meeting that took place at Shycom grounds in Shinyanga. Any sovereign state does not tame the foreign diplomats following Vienna Convention in time then that may create a catastrophic situation for a nation.

gz10.jpg

In the picture above it appears the Chinese Ambassador, Mr. Lu Yuoqing, was so overcome with emotion at the reception accorded him that he even donned a CCM cap quite oblivious to the political embarrassment he is creating and repercussions that might follow. Please Mr. Lu Yuoqing, keep your hands off our internal politics.

In Zambia elections of 2012, the Chinese banked heavily on MMD led by
Rupiah Banda but the Zambians opted for Sata’s Patriotic Front much to their dismay. One would have thought this was a good lesson to the Chinese but alas it looks like they havent learned anything from history and now Tanzania through CCM is their best bet but is it?

gz11.jpg

Ambassador Mr. Lu Yuoqing looks happy dancing to the tune of CCM drums but a line has to be drawn that should never be crossed by any foreigner, diplomat or not. For the benefit of our democracy and sovereignty I beseach our political leaders, journalists and other concerned people to warn the foreign diplomats not to poke their noses into our own domestic affairs.

The Peoples Republic of China has to be told that this is not acceptable!

Pia Ikumbukwe kuwa BOMU lililotumika kwenye hitimisho la Mkutano wa CHADEMA Arusha lilitoka CHINA. Je tunaweza kuamini kuwa walifadhili hiyo kazi (uhalifu)?
 
Mkuu kwanza CCM watambue kuwa ni jambo la hatari kwa mustakabali wa taifa. Hivi kesho balozi wa Marekani akisimama na Chadema, Balozi Iran akasimama na CUF, n.k. nchi itakuwa katika hali gani. Huu ni ukiukwaji wa sheria za kimataif na unatakiwa uonyeshwe duniani kote.

Hili la Chadema na Wapinzani nimeshaliongelea mara nyingi sana sidhani kama wananielewa na kama wananielewa basi wanapuuza. Nafarijika kuona kuwa mimi si 'mwendawazimu' peke yangu kumbe tupo wengi.

Niwaalike akina Ben Saanane Tumaini Makene Mungi Mikale P Aweda watusaidie kidogo.
Hivi hakuna yoyote aliyeona tatizo hili na kutumia fursa hiyo kuufahamisha uongozi kuhusu ukikukwaji huu wa haki za binadamu na kuiweka china on the spot!

Hili si jambo dogo hata kidogo, najaribu kufikiri lingefanywa na Chadema leo ingekuwa nini katika vyombo vya habari.Fursa za namna hii ndizo za kuufahamisha ulimwengu uelewe nini kinaendelea.

Nilitarajia Chadema wangekuwa wameshamwandikia Dean of Diplomats na taasisi za kimataifa kuhusu tatizo la China kuingilia mambo ya ndani ya kisiasa ya Tanzania.
Mag3 kalieleza vizuri sana hapo juu sijui wanasubiri nini.

Wapinzani wanapaswa kuwa 'on top ' of the game kila wakati.
Kwa upande huo nadhani bado wana tatizo kubwa sana lazima tuseme wazi.
Nguruvi3,

Nilishaona na kuchukua hatua .Tumeitisha Press conference leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom