No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

Waungwana labda tuanzishe kampeni ya kuandika barua kali dhidi ya ubalozi wa China kuhusu kujiingiza katika siasa za ndani za nchi yetu ambazo haziwahusu hata kidogo. Barua hii/hizi (z)ipelekwe UN na kwenye vyombo vya habari mbali mbali duniani na pia ubalozi wa China kuuambia ubalozi huo kwamba Watanzania hatutaki kabisa wajihusishe na siasa za nchini kwetu na kuacha kufanta kazi zao za kibalozi zilizowaleta nchini.

ni wazo zuri sana naona tunge tebgrneza email halafu tuitume kwa wa mbalimbali ili waitume china na un..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hawa jamaa wasivyopenda negative news na hasa zinazohusiana na uvamizi wao wa nchi mbali mbali za Afrika inaweza ikawaudhi sana na huyo balozi kupewa onyo kali acheze mbali na chama cha mafisadi au hata akarudishwa kwao haraka sana.

ni wazo zuri sana naona tunge tebgrneza email halafu tuitume kwa wa mbalimbali ili waitume china na un..
 
Tatizo hasa liko kwenye grass roots na hawa viongozi wa CCM wanatumia madhaifu na mapungufu ya uelewa katika jamii kwa faida ya kisiasa. CCM don't give a monkey's about Vienna conventions, nevertheless, few people understand it.

Kwa wananchi wa kawaida hata neno Vienna Conventions ni kizungumkuti achilia mbali mi-article yake. Uelewa wa siasa za ndani na maswala ya kiuchumi nchini uko chini sana achilia mbali uelewa wa International relations.

Kama hakuna political and economic responsibility kwenye jamii, huwezi kupata accountability and transparency kutoka kwa watawala na kwa maana hiyo, watawala watafanya kile wakipendacho kwa wakati wowote na sehemu yoyote wakifahamu business as usual.

Taifa la wananchi wengi wa hovyo hovyo, hata watawala watakuwa wa hovyo hovyo kwa sababu wanatokana na wananchi hao hao wa hovyo hovyo. Kama ukitaka kufahamu maana ya hiki ninachokisema, anzisha thread ya udaku na kuhusu maswala ya mapenzi ya kijinga kijinga uone Watanzania kwa mamia watakavyo pangana kwenye mstali kuchangia.

Mind you, 'Huu ni upepo na utapita'.
 
Mnyamwezi ananikosha sana katika communication.

Yani unaweza kumchukua mtoto wa Brooklyn huko, high school dropout, kapanda ngazi na kuwa boxer kimkandamkanda, no academic credentials at all, au mpambe wa boxer anamshikia taulo tu, akifanyiwa interview anajieleza vizuri kuliko Profesa Muhongo wa Tanzania.

And I am not talking about the English.

Na ana observe decorum kuliko Kinana na Balozi wa China Tanzania kwenye steji.

Only in America!!!!
 
Kuna kipindi Ben Mkapa na hata Jk walishawaita Mabalozi na kuwapiga mkwala, na kuwaambia wasiingilie masuala ya ndani ya nchi hasa masuala ya kisiasa, na waliwaambia kabisa kua waheshimu Vienna conventions, sasa nashangaa kuona chama chao ndio kinakua kinara.
 
CCM inaendekeza ukoloni mamboleo,mwigulu anatembea na katuni nape kinana wanatembea na mchina.Huko ni kujidhalilisha kuwa hatuwezi fanya kitu bila ufadhili wa mchina.HUYO BALOZI NA CCM WAOMBE RADHI NA WASIRUDIE, VINGINEVYO PATACHIMBIKA
 
throw away rwandans and congolese & kéep chinese,laana ama ujinga?
 
Mzee Mwanakijiji should be able to do something on our behalf.
Ccm is banking on our ignorance.

Haya team mayweather, lets go. Naona macelebrity kibao hapa.
Waungwana labda tuanzishe kampeni ya kuandika barua kali dhidi ya ubalozi wa China kuhusu kujiingiza katika siasa za ndani za nchi yetu ambazo haziwahusu hata kidogo. Barua hii/hizi (z)ipelekwe UN na kwenye vyombo vya habari mbali mbali duniani na pia ubalozi wa China kuuambia ubalozi huo kwamba Watanzania hatutaki kabisa wajihusishe na siasa za nchini kwetu na kuacha kufanta kazi zao za kibalozi zilizowaleta nchini.
 
Last edited by a moderator:
ni wazo zuri sana naona tunge tebgrneza email halafu tuitume kwa wa mbalimbali ili waitume china na un..

Mabalozi wana umoja wao. Kama sikosei Balozi wa Misri ndio mwenyekiti wa Mabalozi.Wanakutana mara kwa mara, badala ya kuiandikia serikali ya China ambayo ninahakika itapuuza, bora wangeandikiwa huo Umoja wao ili waonyane na ikibidi huyo balozi kiazi aombe radhi. Nina hakika hakujua impact ya alichokifanya
 
Mipanya buku ya Lumumba inachungulia kwa mbali. Hawatii mguu kwenye huu uzi
 
Hata mimi naona jeuri tu. Wanajiuliza "What's the worst that could happen? A JF thread or three with the usual suspects screaming?"

This would hardly make the papers.

To be fair balozi wa Ujerumani alivyo i lecture serikali kuhusu kutotegemea sana rent on natural resources the same issue was apparent, albeit CCM was on the wrong side of the violation.

So it's not like there is no precedent.

Ukiwa huna wananchi wanaotaka accountability, ukiwa huna serikali inayojitegemea, habari kama hizi zitaendelea kuwepo tu.

Na wengine ndio kwanza wataona we are making a mountain out of a molehill.

Kwa kuwa Balozi ameenda kuongelea uwekezaji na masuala yanayohusu raslimali za nchi kwenye mikutano ya CCM, sasa kwa kuzingatia Ibara ya 26(2) na ibara ya 27 ya katiba yetu inayompa uwezo na haki mwananchi yeyote kuchukua hatua nimechukua hatua ya kumuandikia waziri wa mambo ya nje Bernard Membe barua jana.Nitatoa nakala kwa vyombo vya habari ,balozi zote(kwa kuwa Membe alishawahi kuwatisha alipohisi kuna mabalozi wanaongea na upinzani),viongozi wa vyama vya siasa,Asasi za kiraia n.k.

Uhusiano wa Tanzania na mataifa ya nje haujengwi kwa misingi ya party-to-party.Mikataba ya Geneva,Mkataba wa vienna na itifaki za kidiplomasia zimekiukwa.Na hii ni tabia ya China maana hata huko Namibia balozi wake alishawahi kufanya hivyo kwenye mikutano ya Chama cha SWAPO.Zambia pia walifanya hayo kwa Michael Satta hadi kutishia kuwa Patriotic front ikiingia madarakani basi wataondoa uwekezaji.

This is gross violation of international Law.Sasa Balozi wa China aombe Radhi au awajibike.Diplomats wanawakilisha nchi na sio chama.Hii ni dharau kwa watanzania na ni kukosa adabu kwa watu wanaojali principles na moral standards
 
Tatizo hasa liko kwenye grass roots na hawa viongozi wa CCM wanatumia madhaifu na mapungufu ya uelewa katika jamii kwa faida ya kisiasa. CCM don't give a monkey's about Vienna conventions, nevertheless, few people understand it.

Kwa wananchi wa kawaida hata neno Vienna Conventions ni kizungumkuti achilia mbali mi-article yake. Uelewa wa siasa za ndani na maswala ya kiuchumi nchini uko chini sana achilia mbali uelewa wa International relations.

Kama hakuna political and economic responsibility kwenye jamii, huwezi kupata accountability and transparency kutoka kwa watawala na kwa maana hiyo, watawala watafanya kile wakipendacho kwa wakati wowote na sehemu yoyote wakifahamu business as usual.

Taifa la wananchi wengi wa hovyo hovyo, hata watawala watakuwa wa hovyo hovyo kwa sababu wanatokana na wananchi hao hao wa hovyo hovyo. Kama ukitaka kufahamu maana ya hiki ninachokisema, anzisha thread ya udaku na kuhusu maswala ya mapenzi ya kijinga kijinga uone Watanzania kwa mamia watakavyo pangana kwenye mstali kuchangia.

Mind you, 'Huu ni upepo na utapita'.

Hii ni kweli.Hata kwa baadhi ya wanasiasa haya masuala ya kimataifa ni kama vile hawajui.Inashangaza sana sana na kuna uwezekano tukapata Rais ambaye ni ignorant kabisa kwenye masuala ya kimataifa.Misconduct iliyofanya na Diplomats hadi muda huu masaa 48 yanakaribia kupita lakini hakuna kiongozi wa juu wa vyama vya upinzani anayeona hatari
 
Inakera sana na halikubaliki, watanzania tungekuwa makini baada ya tukio hili ilipaswa ubalozi wa China hapa nchini uwe unawaka moto muda huu, na wachina wote pamoja na balozi wao walipaswa wawe wameshaondoka nchini. Watanzania tubadilike tuache ukondoo.
 
Lakini pia inakuwaje hao waCCM (Nape and Kinana) wasiijue hiyo miiko ya kidiplomasia ya kutoingilia siasa za ndani ya nchi kwa hao wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania?

Manake nakumbuka Magufuli naye alienda kwenye convention ya CORD huko Kenya. Iweje wasiijue au wasiiheshimu hiyo miiko wakati wametawala nchi kwa zaidi ya nusu karne?

Sitaki kuamini kwamba hawajui....nadhani ni ujeuri tu.

Acha kumuonea Nape,Atazijulia wapi maskini!!
 
Back
Top Bottom