No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

Alienda kama mtu binfsi na si kama mwana diplomasia. Hayo ni mambo binafsi hayaingiliani na uongozi wa kidiplomasia. Ha ha ha

acha ujinga wewe! Angekuwa na mawaziri katika ziara ya kiserikali sawa
 
The functions of diplomatic agents are described in Article 3 of the 1961 Vienna Convention and diplomats are expected to be fully aware of the diplomatic norms and practices under the Convention. One such norm envisages that Ambassadors posted in other countries should refrain from publicly expressing their views on internal politics. The Vienna Convention, Article 25(1) dictates that the State shall base its international relations on the principle of respect for national sovereignty and equality, non-interference in the internal affairs of other countries...So, it follows that diplomats have no right at all to interfere in our internal politics as par Vienna Convention and also as par laws of the land.
26.jpg
In this picture, the ambassador from the Peoples Republic of China, Mr. Lu Yuoqing, flanked by the CCM Secretary General, Abdulrahman Kinana on his right and CCM Publicity Secretary Nape Nnauye on his left, addressing a CCM political meeting that took place at Shycom grounds in Shinyanga. Any sovereign state does not tame the foreign diplomats following Vienna Convention in time then that may create a catastrophic situation for a nation.
gz10.jpg
In the picture above it appears the Chinese Ambassador, Mr. Lu Yuoqing, was so overcome with emotion at the reception accorded him that he even donned a CCM cap quite oblivious to the political embarrassment he is creating and repercussions that might follow. Please Mr. Lu Yuoqing, keep your hands off our internal politics. In Zambia elections of 2012, the Chinese banked heavily on MMD led by Rupiah Banda but the Zambians opted for Sata’s Patriotic Front much to their dismay. One would have thought this was a good lesson to the Chinese but alas it looks like they havent learned anything from history and now Tanzania through CCM is their best bet but is it?
gz11.jpg
Ambassador Mr. Lu Yuoqing looks happy dancing to the tune of CCM drums but a line has to be drawn that should never be crossed by any foreigner, diplomat or not. For the benefit of our democracy and sovereignty I beseach our political leaders, journalists and other concerned people to warn the foreign diplomats not to poke their noses into our own domestic affairs.
The Peoples Republic of China has to be told that this is not acceptable!
Hii ni fedheha sana kwa utu wetu, nchi yetu tanzania na kwa vizazi vinavyokuja. Kuna mambo mengi ya kujiuliza na kutafakari sana kwa kina kuhusiana na incidence hii. haikuja ka bahati mbaya ila kuna mambo yamajificha nyuma ya pazia. Kwa uchache naomba nitoe machache tu kwa yanayojiri. 1. china inachirikiana na CCM kwa mda mrefu katika wizi wa rasilimali zetu za madini, nyama pori,pembe za ndovu (kinana akiwa ni mmoja wa watuhumiwa), magogo mengi yalikuwa yakipakiwa kiharamu kwenda china na serikali ya CCM ndo inayoratibu uharamia huu kuitajirisha serikali ya wezi ya china 2. Kinana huyu huyu na mwigulu nchemba ndo waliingia mkataba wa bomu lililolipuliwa arusha. Hivyo china wana siri zao kuhusu bomu la mkutano wa chadema kule Arusha. 3. kama mnakumbuka dili la madawa ya kulevai ya thamani ya zaidi ya bilioni mbili yalokamatiwa china na muhusika kuwa mtu wa karibu wa mwenyekiti na walikubaliana mabo kadhaa. WADAU HAPA TUWE NA UWEZO WA KUONA MBALI. Dili walizoingia na hawa watawala mafisadi wanayoiuza nchi kimya kimya kwa mlango ya uwekezaji na ukandarasi, ITAKUWAJE CCM IKIANGUKA? dili zao si zitakufa? kuna hatari wanazitengeneza kulinda maslahi yao na CCM walivyo kama misukule wanaendeshwa kigumegume bila ya kujua waliangamiza taifa. What if Upinzani upite utakubaliana na ushenzi unaofanywa na wachina wanaowekeza hata bila kuwa na vibali?(Mfano kiwanada cha maji vingunguti, na machimbo ya shaba kule Mwanga na kwingineko) 4. bomba la gesi, bandari ya kikwete, mchuchuma& Leganga bila kusahau kariakoo, Tamco. ukandarasi kila korner, wivanda kadhaa ni moja ya sehemu za wizi na zenye mikataba tata kini wanalindwa na wezi wenzao kwenda kujenga shangai huku tanzania ikibaki uchi. 5. eneo lingine ni bidhaa feki kujaa soko la tanzania bila kuwepo Pingamizi (madawa , vyakula, mavazi viatu na electronics) kungekuwa na serikali yenye nia njema na watu wake walishapiga marufuku bidhaa hizi na anayejiingiza kinyemela kutaifishiwa mali zake zote. Kini wachina wanapeta na hizi bidhaa kwa kuwa wanmalinda na ndo maana wanajipambanua hata nkwa majukwaa ya siasa kutetea wezi wenzake CCM. 6. eneo lingine ni silaha haramu ambapo zimejaa mno katika soko la Tanzania. baadae wataleta sumu kuwamaliza watanzania hivi hivi kama wanavyozidi kuongezeka. Nawakilisha baadhi haya nitarudi mida.
 
nimemdharau sana huyu balozi wa china na natarajia nchi yake itamvua ubalozi na kumrejesha kwao , A VERY BIG SHAME ON HIMSELF , HIS FAMILY AND HIS COUNTRY !
 
CCM na Wachina wake ni wa kuwahurumia tu,Katika ziara hii kinnana hakufuatana na TOT,kama njia ya kukusanya watu ktk mikutano yao,njia pekee iliyobaki ni kujitia uwendawazimu na kukiuka taratibu za mahusianano ya kibalozi hivyo kuwafanya wasukuma wakamshangae mwanachama wa chama cha kikomunisti cha china akirejesha kadi na kujiunga na CCM teeh teeeh teeeh!
 
Well commented...

Shame on Chinese people and their government.

I used to like Chinese cause we can learn a lot from them.

This is totally unbecoming and unacceptable behavior done by the china diplomat to democratic people of Tanzania.
 
Wakuu hamna sababu ya kulalamika kwa kuwa ccm yenyewe ubora wake ni wa kichina china
 
We need to do something to show Chinese country that this is unaccepteble!

nchi yetu, imekwama na imeoza.
hapa nipo na rafiki wa mwanaccm graduate wa masuala ya diplomasia anasema hiyo ni kuvutia wawekezaji hayo mengne ni mambo madogo tu.
najiuliza kama mtaaalamu wa mambo husika ndio anamtazamo huo maamuma wa huku mtaani watafanyaje!!???

Nguruvi3 Pasco let we do something kulipinga hili suala internationally isikike
 
Last edited by a moderator:
We need to do something to show Chinese country that this is unaccepteble!

The ones we've given power to do so can't tell the difference between a party and a state.. pity...
 
Waungwana labda tuanzishe kampeni ya kuandika barua kali dhidi ya ubalozi wa China kuhusu kujiingiza katika siasa za ndani za nchi yetu ambazo haziwahusu hata kidogo. Barua hii/hizi (z)ipelekwe UN na kwenye vyombo vya habari mbali mbali duniani na pia ubalozi wa China kuuambia ubalozi huo kwamba Watanzania hatutaki kabisa wajihusishe na siasa za nchini kwetu na kuacha kufanta kazi zao za kibalozi zilizowaleta nchini.

There your Right Sir/madam!
This is an insanity for the respected Nation Like China to have stupid Diplomat like this.
Hapa inabidi tupaze sauti zetu dunia yote ijue ujuha wa wachina.
Km hakwenda shule apelekwe hata chuo chetu cha Diplomasia hapo Posta.
 
We should write to:
Peoples Republic of China Embassy,
Ambasador: Mr. Liu Xinsheng
P. O Box 1649,
Toure Drive, Dar es Salaam,
Tel: +255 22 2667475
Fax: +255 22 2666353
Email: chinaemb_tz@mfa.gv.cn
 
Hii ni kweli.Hata kwa baadhi ya wanasiasa haya masuala ya kimataifa ni kama vile hawajui.Inashangaza sana sana na kuna uwezekano tukapata Rais ambaye ni ignorant kabisa kwenye masuala ya kimataifa.Misconduct iliyofanya na Diplomats hadi muda huu masaa 48 yanakaribia kupita lakini hakuna kiongozi wa juu wa vyama vya upinzani anayeona hatari
Viongozi hawawezi wakaona hatari kama jamii inayoathirika haioni hatari. CCM wanapata kile wanachokitaka na Wachina nao wanapata kile wanachokitaka huku wakifahamu madhaifu ya wananchi na vyama vya upinzani.

Mmarekani Charles Kettering aliwahi kusema, problem well stated is a problem half solved kwa maana kuwa, kama wananchi wengi watatambua kama hili ni tatizo la msingi basi watawashinikiza viongozi kulitatua na katika shinikizo hilo, itabidi viongozi wafanye juu chini kulitatua.

Vyama vyetu vya upinzani nafikiri wanadhani hii siyo prime concern na hata kama wanafahamu, basi labda wanaogopa kujitokeza officially kulalamika. Huwezi kuwa na viongozi wanaofumbia macho foul za kisiasa zinazofanywa na Barozi za nchi zenye nguvu ambazo pia ni wahisani kwa kuhofia kuwa politically isolated.

Cha kushangaza CHADEMA ina Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki ambapo kwa umuhimu wake ina Mawaziri kivuli wawili ambapo Ezekiah Wenje yuko kama Waziri na Naibu Waziri ni Ibrahim Khamis lakini wote wako kimya unofficially and officially kama vile hawafahamu majukumu yao ya msingi. Where are Ministers in waiting when they are needed most?

Quick and official reaction kutoka kwenye vyama vya upinzani na hasa CHADEMA kwenye mambo kama haya kutaongeza taswira chanya kwenye macho ya jamii ya Watanzania wanaofahamu nini maana ya international relations, na kwa kufanya hivyo, it'll reinforce CHADEMA quintessence of political professionalism kuonyesha wamejipanga na wizara kivuli iko active.

Honestly, vyama vya upinzania na hasa CHADEMA wanatakiwa kujipanga kwa mambo makubwa na madogo kama kweli wako very serious na kile wanachokihubiri na hii lazima ianzie kwenye wanachama wao. Siyo kazi rahisi kukabidhiwa nchi kwa utendaji wa aina hii na hasa kulingana na historia ya TANU, ASP na CCM.

Siasa za kishabiki na kinafiki kutoka kwa wanachama na washabiki wa vyama vya upinzani haziwezi kuvifikisha mbali vyama vya upinzani zaidi ya kwenye mabaraza ya madiwani na bungeni.
 
Huyu usikute hata hizo Vienna Conventions hazijui.

Naye anaweza kuwa party hack mmoja tu kabebwa katupwa huku hajui alif wala bet ya international relations and diplomacy.

This has gone too far. Remember bombs that were used to kill CHADEMA supporters in Arusha were confirmed to have been manufactured in China. Now the message is very clear. China is ready to fully participate in the plans to kill Tanzanian in favor of CCM.

Tiba

Tiba
 
Tumezoea kuona vitu vya ki-china kuwa cheap hapa nchini na wakati mwingine kama unanunua mashine ya kichina hapa tanzania.
unakuwa unalalamikia kipato kwani bidhaa za kichina zinazoletwa tanzania nyingi ni za kimagumashi.
Sitaki kuamini kuwa huyu balozi naye ni feki kama bidhaa feki zinazoletwa nchini,
Nadhani kama ccm imeanza kutumia wachina kwenye siasa ni dalili za kufirisika kisiasa.
Hata hivyo naunga mkono wanaosema huyo mchini achukuliwe hatua za kinidhamu ili asifanye balozi zilizopo tanzania
kuwa za ovyo.
 
wabunge wote mliopo humu jamvini,tafadhali hili suala ni nyeti sana tunawaomba muandae hoja likajadiliwe bungeni au hata maswali ya papo kwa papo mh Pinda waziri mkuu atoe kauli ya serikali hili suala atuwezi kulifumbia macho hata kidogo
 
CCM politicians still blindly think that Tanzanians fools; Chinese politicians think that both Tanzania politicians and Tanzanians are fools.
 
Back
Top Bottom