No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

Mwaka 2008 Balozi wa US alikwenda kigoma akiwa ameambatana na Naibu katibu Mkuu wa chama na akaahidi misaada mingi kupitia mfuko wa milenia, Sasa iweje kwa mchina iwe nongwa? Mwaka huohuo wanasiasa 25 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania walifanya shughuli za kijamii nchini marekani yote hii haikuwa dosari kwa kuwa walionufaika ni cdm. Sasa Mnataka akina Gaki waendelee kuwanyonya wakulima wa Pamba au?
 
Kwa kuwa Balozi ameenda kuongelea uwekezaji na masuala yanayohusu raslimali za nchi kwenye mikutano ya CCM, sasa kwa kuzingatia Ibara ya 26(2) na ibara ya 27 ya katiba yetu inayompa uwezo na haki mwananchi yeyote kuchukua hatua nimechukua hatua ya kumuandikia waziri wa mambo ya nje Bernard Membe barua jana.Nitatoa nakala kwa vyombo vya habari ,balozi zote(kwa kuwa Membe alishawahi kuwatisha alipohisi kuna mabalozi wanaongea na upinzani),viongozi wa vyama vya siasa,Asasi za kiraia n.k.

Uhusiano wa Tanzania na mataifa ya nje haujengwi kwa misingi ya party-to-party.Mikataba ya Geneva,Mkataba wa vienna na itifaki za kidiplomasia zimekiukwa.Na hii ni tabia ya China maana hata huko Namibia balozi wake alishawahi kufanya hivyo kwenye mikutano ya Chama cha SWAPO.Zambia pia walifanya hayo kwa Michael Satta hadi kutishia kuwa Patriotic front ikiingia madarakani basi wataondoa uwekezaji.

This is gross violation of international Law.Sasa Balozi wa China aombe Radhi au awajibike.Diplomats wanawakilisha nchi na sio chama.Hii ni dharau kwa watanzania na ni kukosa adabu kwa watu wanaojali principles na moral standards
In addition to above said,i would like to reiterate to describe in detail the following;that,Tanzania is among the UN member state ratified the Vienna Convention on Diplomatic relations of 1961 as put forward by the very person brought this issue.Having the convention being ratified by Tanzania,it was adopted and thereafter act no.5 of 1986 was enacted by Tanzania and named as Diplomatic and Consular Immunities and Privileges Act.Under Article 22 (1) (a) of the Act is clear that immunity of diplomats is waived by the hosting/receiving state or the government of the sending state. To be clear enough,here I quote the provision
''22.-(1) Without prejudice to any other rule of law relating to the waiver of diplomatic immunities or privileges-
(a) a head of -mission may waive any immunity conferred by or under the provisions of this Act on himself ………or on a person in the service of the government of the country which he represents and such immunity of a head of mission or ………may also be waived by the government of the country by which he was appointed;
(2) Waiver under this section shall be express and shall be communicated in writing to the government of the United Republic
Kwa kuwa suala hili si bahati mbaya kwa Balozi kujihusisha na masuala ya kisiasa ndani ya nchi nyingine ni wazi kuwa anakuwa amepoteza kinga na anastahili kushitakiwa pamoja na kufukuzwa nchini mara moja ndani ya masaa 24.Sambamba na hayo katibu Mkuu Bwana Kinana,amefanya makusudi kwa nia ya kujinufaisha chama chake kisiasa.Hii haina maana kwamba hajui taratibu za kidiplomasia na sheria zake ukizingati kuwa amekuwa mbunge kwa muda mrefu,na hata kuwa Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC),ambapo alikuwa ana-enjoy immunity on the inviolability of premises under Article 22 of the Vienna Convention on Diplomatic Relations of 1961
Aidha kitendo hicho kakifanya akiwa kanda ya ziwa akiamini ya kwamba hakuna atakayehoji kitendo hicho.Kanda ya ziwa inaaminika kuwa ni mtaji mkubwa wa CCM katika chaguzi mbalimbali.Na ndiyo maana watu walichukulia ni jambo la kawaida kwa kushanglia kwa nderemo kubwa.Hoja ya msingi ni kwamba kosa limetendwa na watu waelewa hivyo hatua za kisheria zinapaswa kuchukuliwa mara moja na pande zote kama nitakavyoeleza hapa chini.
Tunajua kuwa kuna aina mbili za immunities ambazo ni ratione persona na ratione materiae ambazo ni kwa mujibu wa Article 27 of the Rome Statute, Vienna Conventions on Diplomatic Relations of 1961 and Vienna Convention on Consular Relations of 1963.
Kinga hizo huondoka pale diplomats anapokuwa ametenda makosa ambayo yanakiuka international customary law.Kwa kufanya hivyo huwa hakuna simile tena isipokuwa kufukuzwa nchini pamoja kuvunja uhusiano wa kibalozi kwa nchi mtendewa.
Kwa kuwa CCMni washirika wakubwa na China,suala la kumfukuza Balozi na kuvunja uhusiano wa kibalozi hili si jambo rahisi kwao.Laki ni ikumbukwe kuwa suala la kibalozi pamoja na kinga (diplomatic immunities) si suala la sera ya chama Fulani,bali lina historia ndefu sana,yaani tangu karne ya 13.Kwa mantiki hiyo basi,jambo hili halivumiliki hata kodogo,hatua za kisheria zinatakiwa zichukuliwe mara moja.
Endapo kama serikali ya CCM haitachukua hatua kwa mujibu wa International law,kwa maoni yangu,basi umma wa watanzania una jukumu la kufanya ikiwa ni pamoja na kuijulisha jumuia ya kimataifa kwa njia ya kuandika au kupitia wawakilishi wa vyama vya siasa,intergovernmental organizations,NGO au kufungua kesi kupitia mahakama ya kimataifa kama vile ICJ iliyoko the Hague,uholanzi amabayo ina dual jurisdiction na competent to deal the matter in question.
Kwa kuhitimisha,sheria zote za kimataifa(International law) zimevunjwa ikiwamo UN Charter,The Vienna Convention on Diplomatic Relations of 1961,Sheria mama ya nchi (Katiba ya Tanzania,1977) na Act No.5 of 1986,hatua za kisheria zichukuliwe mara moja dhidi ya Balozi wa China.Aidha,Bwana Kinana naa wenzake wawajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Jana katika mkutano wa hadhara jijini Mbeya,Dk Slaa alisema huyo balozi hawezi kubaki salama.....! kwa hiyo ajiandae kufungasha vilago....!
 
website of the chinese embassy

http://tz.china-embassy.org/eng/
 
Mnyamwezi ananikosha sana katika communication.

Yani unaweza kumchukua mtoto wa Brooklyn huko, high school dropout, kapanda ngazi na kuwa boxer kimkandamkanda, no academic credentials at all, au mpambe wa boxer anamshikia taulo tu, akifanyiwa interview anajieleza vizuri kuliko Profesa Muhongo wa Tanzania.

And I am not talking about the English.

Na ana observe decorum kuliko Kinana na Balozi wa China Tanzania kwenye steji.

hahahah ! ila tujiulize tu mpaka balozi kudance on stage with CCM publicly ....there might be prices of high value we wavuja jasho have paid .....si bure....
 
Back
Top Bottom