Bila kuweka percent yoyote wanaume wengi huwa wanaogopa (hawapendi) kumuona mwanamke akiwa labour ....Hint.. Ni kitu ambacho sisi wanawake/
Wasichana tukiwa tunafanya ( wenyewe wanaogopa)....
Asanteeni..
naona jibu litakuwa ni hilihili....lets wait and see!Bila kuweka percent yoyote wanaume wengi huwa wanaogopa (hawapendi) kumuona mwanamke akiwa labour ....Yaani akiwa anajifungua....... Hii ndio action pekee ya Mwanamke ambayo inaweza ikaleta woga kwa mwanaume..
nilimpa jibu hili kalikataa!Tunaogopa kwenda home kwa binti....kujitambulisha hivi...........
Hapa huwezi kunibishia sababu baada ya kuulza watu takriban 100; 20 wamesema kwamba wanaogopa kuwa na mwanamke anayewazidi kipato au cheo... 🙂 kwahiyo kwa vyovyote vile jibu langu na lako yote yatakuwa sawa 🙂
Na hii research yangu ni better than REDET... 🙂
Bila kuweka percent yoyote wanaume wengi huwa wanaogopa (hawapendi) kumuona mwanamke akiwa labour ....
Yaani akiwa anajifungua.......
Hii ndio action pekee ya Mwanamke ambayo inaweza ikaleta woga kwa mwanaume..