NO.2 Chemsha Bongo

NO.2 Chemsha Bongo

pale ikijatokea mwenzi wako au mpenzi anapokueleza huwa humfikishi kunako sita kwa sita zaidi ya kumuachia uchafu.
 
duhhhh
Hii Noma
Samahani sana
jibu lako si sahihi..
 
Nimelala nimeamka, sasa niko ofisini hujatoa jibu!

Mkuu afrodenzi, Mi naomba information kidogo, hiyo 20% umeipimaje/umeipataje kwanza?
 
Well..
Jibu ni kuwa abiria wakati
Msichana/mwanamke anaendesha ..

Kweli kabisa maana uharo wa wasichana (sio wanawake) unanuka sana na ukiwa abiria kuna uwezekano mkubwa akakuharishia maana si rahisi dereva kumvumilia na kusimama kila kituo kufotoa matofali.
 
Umeenda mbali mkuu..
 
nimekubali matokea...nitarudi kwenye chemsha bongo ya 4 na kuchukua ushindi.
 
Aaaa wewe huwezi kuchukua wewe ntachukua mimi, chemsha bongo yenyewe hii umeshindwa kuijibu! hahahahaha!
 
Back
Top Bottom