NO.2 Chemsha Bongo

NO.2 Chemsha Bongo

Aaaa wewe huwezi kuchukua wewe ntachukua mimi, chemsha bongo yenyewe hii umeshindwa kuijibu! hahahahaha!
Hahahahaha dahhhh Hii ndio sababu napenda JFPapa Mopao lohhh My dear umenichekesha kwa kweli.. Unamwambie mwenzio hii kashindwa kujibu We umeweza...lolz
 
Hahahahaha dahhhh Hii ndio sababu napenda JFPapa Mopao lohhh My dear umenichekesha kwa kweli.. Unamwambie mwenzio hii kashindwa kujibu We umeweza...lolz
Eeee hahahhahahaa! Sasa huyo mwenzangu kasema atachukua ushindi chemsha bongo no.4, aaa wapi chemsha bongo zote hata zile za Redio One kachemsha mno hahahahahha!
 
Eeee hahahhahahaa! Sasa huyo mwenzangu kasema atachukua ushindi chemsha bongo no.4, aaa wapi chemsha bongo zote hata zile za Redio One kachemsha mno hahahahahha!
Hahahahahaha loohh Unavituko kwa kweli mmhh Haya bwana...
 
Well..
Jibu ni kuwa abiria wakati
Msichana/mwanamke anaendesha ..

Alaa, kama jibu ndiyo hilo basi mi niko kwenye ile asilimia 80..
Tena huwa najisikia amani zaidi kama ni mwanamke anaendesha, manake wako makini kweli...
Sisi tumezidisha maujanja ujanja ndo maana hatuchelewagi kupigana pasi au kula mzinga kabisa...
 
Alaa, kama jibu ndiyo hilo basi mi niko kwenye ile asilimia 80..Tena huwa najisikia amani zaidi kama ni mwanamke anaendesha, manake wako makini kweli...Sisi tumezidisha maujanja ujanja ndo maana hatuchelewagi kupigana pasi au kula mzinga kabisa...
Dahhhh Santeeee Tanmo Nimawahi sikia wanawake huwa wana Pay more attention au wana concentrate Zaidi wa wanaume wakiwa wanaendesha.. Lakini bado bado kuna hao waoga.. Haina neno wanasababu zao ....
 
Mh..ok,
jus kwa sababu siko kwenye hiyo 20% nakubali
maana sijui.
Yani nikipataga picha in my dreams..
nimeweka kiwko dirishani
niko na my waifu wangu
anadrive tartibuuuu...ts a beautiful thought to me!
 
Aaagh kuna ndege moja Ethiopian pilot wakealikuwa wa kike nusu aangushe ndege time ya kuruka...kaipaisha mno, ikabidi aanze kuiweka sawa dah, vagi lake lilikuwa balaa..umentonesha kidonda kilichopona AD!!

Ur answer is correct!!
 
naomba nisiongee sana....ngoja Afrodenzi alete ya 3 nichukue ushindi.
hahahahah lol itakuja tuu usijali

naona kukosa ushindi kumenipa kiwewe...tukutane kwenye namba 3.
unavituko wewe mmmhhh
relax , kunywa maji inakuja lolz

Mh..ok,
jus kwa sababu siko kwenye hiyo 20% nakubali
maana sijui.
Yani nikipataga picha in my dreams..
nimeweka kiwko dirishani
niko na my waifu wangu
anadrive tartibuuuu...ts a beautiful thought to me!

:A S thumbs_up: 🙂
Hahahahahaa! Haya bana tusubiri hiyo chemsha bongo, nitakuwahi sana!
hahahhaah lol mnanichekesha jamani dahhh
 
Aaagh kuna ndege moja Ethiopian pilot wakealikuwa wa kike nusu aangushe ndege time ya kuruka...kaipaisha mno, ikabidi aanze kuiweka sawa dah, vagi lake lilikuwa balaa..umentonesha kidonda kilichopona AD!!

Ur answer is correct!!

kuna vitu vingi vinaweza kuwa vigezo
kwa incident kama hiyo .. ila sisi
binadamu kama binadamu tunapenda
ku blame Pilot bila kuangalia error nyinginezo..

ila kuna useme nimewahi kusikia Pilot akiwa wa kike
na aki announce "This is your captain speaking "
Blood pressure za passenger inaongezeka kwa asilia 20.. ( 20%)
 
Alitutangazia anaitwa pilot Suzan(kama sijakosea) aagh kiroho kikastuka!! yaani safari nzima nikipiga maombi tu, hata wakati anaishusha MJKNIT ni balaa tu...anyway tulifika salama ingawa chamoto tulikiiona!!
 
Very interesting ..Unadhani ni kwanini kiroho Kulikuruka?Ni uoga tu au kuna kitu kingine? I'm just curious ... thanx
 
Mh..ok,
jus kwa sababu siko kwenye hiyo 20% nakubali
maana sijui.
Yani nikipataga picha in my dreams..
nimeweka kiwko dirishani
niko na my waifu wangu
anadrive tartibuuuu...ts a beautiful thought to me!
Mi nikiwa kwenye gari anaendesha mwanamke tena 4WD nahisi raha sana.
 
Back
Top Bottom