Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,087
That's true. Mdogo wangu alipiga signature tofauti na ile aliweka wakati anafungua akaunti. Wakamwambia hii sio yenyewe na hivyo hupati pesa. Baadaye akaikumbuka, akisign wakamwambia hii sasa ipo sawa, wakampa mpungaMkuu, kuna taratibu za kufuata kwa mtu ambaye ni mgonjwa au amefariki. Linapokuja suala la kisheria, ubinadamu huwa unakaa pembeni.Bank ni miongoni mwa sekta ambazo ziko very limited kwenye kutumia ubunifu au akili ya kuzaliwa kwenye kutekeleza majukumu yake. Mfano leo hii wewe unaweza enda bank, ndani kuchukua pesa, Jamaa anatakiwa a verify sura yako na signature, sura inakuwa yako kabisa, ila ukiyumbisha signature kidogo tuu... hakuna namna utapata pesa zako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app