Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,783
- 819
Utakomaa vipi ndugu labda unishauri, sina ndugu yangu mwenye nafasi kubwa huko kazini na hali ndiyo kama hii hamna pesa japo rushwa ni dhambi hata vitabu vya Mungu vimeangikwa.
Kazi ya benki huwa inahitaji refarii officially kabisa na anasaini kwenye application documents huyo ndio dhamana yako in case umeingizia benk loss.