Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa taarifa yako tu NMB kuna mtandao unouza kazi na nafasi moja ni tsh1000000 kwa hiyo usishangae.
kwa aina hii ya mapokeo na uwezo wa kuchanganua mambo wala simshangai mwenyekiti wa pannel alipokata jina lako!Ndugu zangu wana JF ukisikia Bank za kipumbuvu katika kuajili wafanyakazi wake ndiyo hizi mbili, kwa mtazamo wangu ni Namba moja.Leo nitaielezea moja nayo ni NMB.
Hawa jamaa Namuomba Mungu Kama vp uongozi wa Highlands Zone walaaniwe na mabaya yawe juu yao. July,2012 walitangaza ajira zao kwa kubandika tangazo kwenye mti hapa ofisi zao Mbalizi Road Mbeya ambapo ndiyo makao makuu ya Highlands zone. Mimi na jamaa yangu tuliandika barua kwa kufuata viwango vya barua za ajira, namimi nina alama nzuri za kufaulu kuliko jamaa yangu katika kila hatua ya shule. Mwenzangu akatangulia kupeleka Maombi ya kazi lakini hukuambatanisha na cheti cha kuzaliwa, mimi nilivyopeleka mpokeaji akaniambia ambatanisha na cheti cha kuzalia, ikabidi nirudi kuchukua na kuambatanisha. Sasa jamaa yangu wala hakuambatanisha,Nadhani Siku ya Kupitia hayo maombi wakampigia simu alete hicho cheti na akaitwa kwenye usaili na kazi akapata, mimi hata kuitwa usili hawakuthubutu.
Swali: Hawa jamaa huwa wanatangaza kazi kwa ajiri ya kufurahia tunavyohangaika kuomba hizo nafasi au ili iwaje?Na ukweli ni kuwa huyo jamaa yangu kaka yake yupo hapa hapo hapo mbeya na anafahamiana na hawa wa NMB na ndiye alifanya mpango mzima.
Nilikuwa najaribu kuwajuza kuwa msione kwanini hamwitwi kwenye usaili na hali huku walitangaza na mliomba wanatuzuga tu hawa. HAKIKA WALAANIWE NA MWENYEZI MUNGU WENYE TABIA HIZI.
ndugu zangu wana jf ukisikia bank za kipumbuvu katika kuajili wafanyakazi wake ndiyo hizi mbili, kwa mtazamo wangu ni namba moja.leo nitaielezea moja nayo ni nmb.
Hawa jamaa namuomba mungu kama vp uongozi wa highlands zone walaaniwe na mabaya yawe juu yao. July,2012 walitangaza ajira zao kwa kubandika tangazo kwenye mti hapa ofisi zao mbalizi road mbeya ambapo ndiyo makao makuu ya highlands zone. Mimi na jamaa yangu tuliandika barua kwa kufuata viwango vya barua za ajira, namimi nina alama nzuri za kufaulu kuliko jamaa yangu katika kila hatua ya shule. Mwenzangu akatangulia kupeleka maombi ya kazi lakini hukuambatanisha na cheti cha kuzaliwa, mimi nilivyopeleka mpokeaji akaniambia ambatanisha na cheti cha kuzalia, ikabidi nirudi kuchukua na kuambatanisha. Sasa jamaa yangu wala hakuambatanisha,nadhani siku ya kupitia hayo maombi wakampigia simu alete hicho cheti na akaitwa kwenye usaili na kazi akapata, mimi hata kuitwa usili hawakuthubutu.
Swali: Hawa jamaa huwa wanatangaza kazi kwa ajiri ya kufurahia tunavyohangaika kuomba hizo nafasi au ili iwaje?na ukweli ni kuwa huyo jamaa yangu kaka yake yupo hapa hapo hapo mbeya na anafahamiana na hawa wa nmb na ndiye alifanya mpango mzima.
Nilikuwa najaribu kuwajuza kuwa msione kwanini hamwitwi kwenye usaili na hali huku walitangaza na mliomba wanatuzuga tu hawa. Hakika walaaniwe na mwenyezi mungu wenye tabia hizi.
jamani wengine humu msionyeshe ujinga wenu,mtu anaharibu kueleza yaliomkuta unaropoka ujinga..penda kuwa sehemu ya solution ..hayo mambo yapo na sote tunajua na matokeo ya hayo tunayaona tunapata watendaji ma deed woods.....nhif pia wamefanya upumbavu huo juzi tu hapa wamewapa watu kazi bila hata oral interview na moja ya hao watu namjua
hatuna hakika na maneno yakenawachukia wale wote wanaoona kama jamaa ana wivu kwa jamaa yake kupata kazi akati yeye anajaribu kuelezea hali halisi ilivo na ndivyo ilivo kiukweli..watu mjaribu kuelewa aseee
Sijaelewa CRDB hapa wameingiaje? Maana kwenye maelezo yako umezungumzia NMB Mbalizi Road...Pengine ndio hapa alipokushinda jamaa yako... Alikuzidi ujanja kwenye interview...alama za kwenye vyeti hazisaidi chochote