Bwege Hatari
Member
- Oct 19, 2018
- 71
- 40
Tangu nimeanza kupokea email alhamisi, leo ya tatu wanarejea email iyo iyo, waambieni washanitumia basi tena, msg yenyewe we regret alafu inarejewa leo ya tatu
Oi mbona unacheka kamandaHahahah
UtaipataNaisubiria kwa hamu hiyo email
Wadogo zangu mliokosa hata interview hapo NMB wkt vigezo vyao vilikua ni very very simple hata kwa fresh graduate,kazeni sana roho na siku mkifanikiwa kutoboa kwny maisha basi kumbukeni haya:
*Msifungue a/c yoyote ile NMB kuenzi machungu ya kuteswa kisaikolojia na kushukuriwa kinafiki kwny email.
*Muwambie ndg na jamaa zenu NMB ni bank ya watu wanaojuana inapokuja kwny suala la kazi.
Natoa homework rahisi tu,kama kuna mtu mtu humu jf/rafiki yake atayeitwa kwny interview hapo NMB alete mrejesho hapa JF.
Hakuna uzalendo, wawo wenyewe sio wazalendo, sema CV zako ww uliochaguliwa? Ktk wote waliokosa hawana icho kituMbona kama umepanick halFu unataka tengeneza multiplier effect ambayo mwisjo wa siku hadi hizo familia zitapata shida..we unadhan wasipoitumia bank ikaja kufa uchumi ukidondoka atakaye umia nani..tuwe wazalendo...ANYWAYS MI MWENYEWE NSHAAPLY SANA ILA HII NMEFUNGUA MAIL BAADA YA KUONA HUU UZI NMEKUTA WAMANAMBIA WAMENICHAGUA WATANAMBIA PROCESS INAYOFUATA
Hahah sawa mfanyakazi wa NMB,nimekusoma ila hio Bank ni zaidi ya uijuavyo.Mbona kama umepanick halFu unataka tengeneza multiplier effect ambayo mwisjo wa siku hadi hizo familia zitapata shida..we unadhan wasipoitumia bank ikaja kufa uchumi ukidondoka atakaye umia nani..tuwe wazalendo...ANYWAYS MI MWENYEWE NSHAAPLY SANA ILA HII NMEFUNGUA MAIL BAADA YA KUONA HUU UZI NMEKUTA WAMANAMBIA WAMENICHAGUA WATANAMBIA PROCESS INAYOFUATA
Mkuu naona JF nzima jamaa atakua ameitwa mwenyewe tu.Hakuna uzalendo, wawo wenyewe sio wazalendo, sema CV zako ww uliochaguliwa? Ktk wote waliokosa hawana icho kitu
Hapo nyuma nmesimulia kisa cha jamaa yangu aliesoma cultural and tourism jinsi alivojiongeza na akapata nadhan kwa muelewa kanielewaMkuu naona JF nzima jamaa atakua ameitwa mwenyewe tu.
Kuna madogo kama 8 hivi,wote wamepigwa chini na email za kushukuriwa kinafiki.
Lkn kwa vigezo walivyokua wameviweka,watu maelfu walihitajika kuitwa kwny hio interview yao.
Hapo ni fair na sio fear...Au ndio wanataka kusema wasomi wa Tz hatuajiriki.? Kumbe ni kwa sababu wanazozijua wao NMB Tanzania mna account jamiiforum. Toeni ufafanuzi maana haiwezekani watu wote hawa wamekosa wakati wakikua na vigezo la sivyo tuendelee kuamini NMB Tanzania kwenye ajira hawako fear kabisa.
Nimekisoma mkuu,sasa cultural&tourism vs kazi za bank wapi na wapi aisee?Hapo nyuma nmesimulia kisa cha jamaa yangu aliesoma cultural and tourism jinsi alivojiongeza na akapata nadhan kwa muelewa kanielewa
Utashangaa wanajifanya kama vile hawajaona hii Tag yako hapa mkuu.Au ndio wanataka kusema wasomi wa Tz hatuajiriki.? Kumbe ni kwa sababu wanazozijua wao NMB Tanzania mna account jamiiforum. Toeni ufafanuzi maana haiwezekani watu wote hawa wamekosa wakati wakikua na vigezo la sivyo tuendelee kuamini NMB Tanzania kwenye ajira hawako fair kabisa.