NMB job several position wameanza kutuma email

Sina hamu na hii bank
Humjui mtu basi!
Wadogo zangu mliokosa hata interview hapo NMB wkt vigezo vyao vilikua ni very very simple hata kwa fresh graduate,kazeni sana roho na siku mkifanikiwa kutoboa kwny maisha basi kumbukeni haya:

*Msifungue a/c yoyote ile NMB kuenzi machungu ya kuteswa kisaikolojia na kushukuriwa kinafiki kwny email.

*Muwambie ndg na jamaa zenu NMB ni bank ya watu wanaojuana inapokuja kwny suala la kazi.

Natoa homework rahisi tu,kama kuna mtu mtu humu jf/rafiki yake atayeitwa kwny interview hapo NMB alete mrejesho hapa JF.
 
Guys, Jana linikua naongea na rafiki yangu ambae ni Meneja wa Nmb tawi flan kubwa
Anasema waliamua kuajiri waliokua wanafanya intern na sales ( vibarua wa ndani) kwanza alafu ikionekana baado nafasi zipo wataendelea na external applicant.

Bt sijui kama ni kweli au Lah
 
Ngumu kumesa

Tusiwe wepesi wa kulaumu haya mambo unapoteza Nmb unapate sehemu nyingine ambao utakuwa comfortable zaidi hivo hii pia Ni sehemu ya ushindani tuendelee pambana
 
Guys, Jana linikua naongea na rafiki yangu ambae ni Meneja wa Nmb tawi flan kubwa
Anasema waliamua kuajiri waliokua wanafanya intern na sales ( vibarua wa ndani) kwanza alafu ikionekana baado nafasi zipo wataendelea na external applicant.

Bt sijui kama ni kweli au Lah
Hao vijana wa sales kila siku naona wanaacha hio kazi hapo NMB sijui kwanini?Possibly mazingira ya kazi ni magumu.
 
Kipindi cha nyuma Sales walikua recruited through Branch manager's kwa mkataba wa muda mfupi sijajua kama ipo hivyo mpaka sasa
 
Hao vijana wa sales kila siku naona wanaacha hio kazi hapo NMB sijui kwanini?Possibly mazingira ya kazi ni magumu.
Pesa wanayolipa ni 200k kwa mwezi na afu kidogo wanakupatia chumba cha kulala over... mi nilikataaga kitaaambo na kuna madogo niliwapiga stop upuuzi huo afu huwa ni mwaka mmoja mkataba...
 
Aisee hio pesa wanayolipwa ni noma sana.

Sasa nimeelewa kwanini kila mara naona wanatangaza hizo nafasi za Sales.
 
hii inaweza ikawa na ukweli make na me nlishaambiwa hivi
Guys, Jana linikua naongea na rafiki yangu ambae ni Meneja wa Nmb tawi flan kubwa
Anasema waliamua kuajiri waliokua wanafanya intern na sales ( vibarua wa ndani) kwanza alafu ikionekana baado nafasi zipo wataendelea na external applicant.

Bt sijui kama ni kweli au Lah
 
Thank you for your application for the role of Bank Officer.

We regret to inform you that your application was not successful in this particular round. However, your details will be kept in our database and if a similar opportunity comes up in the future we may consider your application.

Once again thank you for your interest in working with NMB Bank and we wish you best of luck in your career advancement.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom