NMB job several position wameanza kutuma email

Mbona waliopata nao wajitokeze basi.. maana kila kakosa.. yaan mtu kapiga BAF, BCOM lkn anakosa ss hapo vigezo ni nn wakati walihitaji hata wasiowazoefu...??
nadhani usipotumiwa Email ya kukatwa ndyo una nafasi nzuri huenda ukapata, so kwa sasa nadhani wanatuma emails kwa ambao hawajafanikiwa ,sijajua ni vigezo gani wanatumia lkn nadhani kuna vitu wanaangalia mpk kumkata mtu. Ukikatwa move on hustles ziendelee
 
Hizi kazi za siku hizi nashauri ukiapply anza kutafuta na connection kwa nguvu sehem ulipoapply.; nina story ya mshkaj wangu alisoma BA cultural anthropology and tourism mwaka jana aliappy bank officer ila baada ya kuapply tu highland zone akatimba mby kwenye ofisi kuu za kanda na kuanza kumsaka mhusika wa ngazi za juu kwa udi na uvumba na siku alipompata nadhan ni manager baada ya kulia shida zake aliitwa kwenye interview na akapata kaz kwa maelekezo ya boss na sasa ni bank officer somewhere LUDEWA . ushauri wangu kwa zama hizi za ushindani ni sio vema kuapply tu na kusubiri miujiza ni vema kwenda extra miles waswahili wanasema KUJIONGEZA
 
nasikia kama hauku sign cv ni kigezo mojawapo cha kufyekelewa mbali😔😔😔🏃🏃
 
nasikia kama hauku sign cv ni kigezo mojawapo cha kufyekelewa mbali
Kusign kvp mkuu? Hebu nieleweshe maaana mimi nishazoea kusign barua tu kazi pale chini sasa CV huwa wana sign kwa wapi? Tujifunze mapema kusudi siku ingine tuwe makini na hilo.
 
page ya mwisho baada ya kumaliza kuandika cv yako kwa chini unasign na kuandika tarehe..
 
Shukran kwa kunifahamisha ila jamaa wangetoa maelezo na katika maelezo yao sikumbuki kama kuna hilo la kusign walisema... acha tuendele kusubiri nini kitajiri
 
hiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyoyaweka kwenye cv ni ya kweli na niyakwako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update na sio ya zamani... lakini ngoja tuendelee kusubiri.
 
Itabidi uniunganishe nae nijue jinsi ya kujiongeza...
Hizi kazi za siku hizi nashauri ukiapply anza kutafuta na connection kwa nguvu sehem ulipoapply.; nina story ya mshkaj wangu alisoma BA cultural anthropology and tourism mwaka jana aliappy bank officer ila baada ya kuapply tu highland zone akatimba mby kwenye ofisi kuu za kanda na kuanza kumsaka mhusika wa ngazi za juu kwa udi na uvumba na siku alipompata nadhan ni manager baada ya kulia shida zake aliitwa kwenye interview na akapata kaz kwa maelekezo ya boss na sasa ni bank officer somewhere LUDEWA . ushauri wangu kwa zama hizi za ushindani ni sio vema kuapply tu na kusubiri miujiza ni vema kwenda extra miles waswahili wanasema KUJIONGEZA
 
hiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyotoa ni ya kweli na niyakeako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update sio ya zamani... lakini tuendelee kusubiri labda.
Hakika binadam tushazoea kila jambo mpaka tuambiwe tuwe na subra
 
hiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyoyaweka kwenye cv ni ya kweli na niyakwako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update na sio ya zamani... lakini ngoja tuendelee kusubiri.
Mkuu shule gani walifundisha kusign CV tambaza au?? CV unasign vipi..?? Cover letter sawa ila kwa CV kutosign sio kigezo kabisa cha mtu kumkata.. Huo ni uonevu.. hata hivyo vigezo sio Kusign CV na hiyo CV mtu kamaliza chuo mwaka huu unataka aoneshe kuupdate kupi wakati ushaona kamaliza mwaka huu au mwaka jana na hana kazi?? Tuwe fair katika maamuzi yetu..
 
cv lazima isainiwe mkuu page ya mwisho baada ya declaration statement, ebu angalia mfano huo hapo zamani nmb walivyokua wanataka cv iwesigned.... hiyo nimekuchukulia ya zamani hili uelewa, lakini siku hizi hawafafanui wanajua kila mtu anaelewa kama anatakiwa kusign cv baada ya declaration statement. we jiulize mtu ana upper second tena ya BAF lakini hawajamchukua.. wanaangalia vigezo hivyo vidogovidogo... tena sio nmb tu unavyoapply kazi sehemu yoyote kumbuka kusign cv.
 
Attachments

  • IMG_20181214_101858.png
    IMG_20181214_101858.png
    58.3 KB · Views: 51
Mkuu shule gani walifundisha kusign CV tambaza au?? CV unasign vipi..?? Cover letter sawa ila kwa CV kutosign sio kigezo kabisa cha mtu kumkata.. Huo ni uonevu.. hata hivyo vigezo sio Kusign CV na hiyo CV mtu kamaliza chuo mwaka huu unataka aoneshe kuupdate kupi wakati ushaona kamaliza mwaka huu au mwaka jana na hana kazi?? Tuwe fair katika maamuzi yetu..
Cna hakika lakini mm cv yangu nilisign kabisa na barua ila nmepata email ya kutokuhitajika ifikie mahala tujue moja kwamba wao wana watu wanajitolea huko ila wanatangaza geresha tuu

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
cv lazima isainiwe mkuu page ya mwisho baada ya declaration statement, ebu angalia mfano huo hapo zamani nmb walivyokua wanataka cv iwesigned.... hiyo nimekuchukulia ya zamani hili uelewa, lakini siku hizi hawafafanui wanajua kila mtu anaelewa kama anatakiwa kusign cv baada ya declaration statement. we jiulize mtu ana upper second tena ya BAF lakini hawajamchukua.. wanaangalia vigezo hivyo vidogovidogo... tena sio nmb tu unavyoapply kazi sehemu yoyote kumbuka kusign cv.
Ok thanks sikuwahi kuwaza hizi mambo.. ahsante tena sana..
 
Back
Top Bottom