Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

Sasa demu kivipi mkuu?

unanishangaza huoni ni vipi umesababisha watu waone unatafuta demu....status yako ilipaswa kuwa 'single' habari ya seriously searching ndio unaonyesha lengo lako kuwa unatafuta au una maana gani kusema 'seriously searching??
 
unanishangaza huoni ni vipi umesababisha watu waone unatafuta demu....status yako ilipaswa kuwa 'single' habari ya seriously searching ndio unaonyesha lengo lako kuwa unatafuta au una maana gani kusema 'seriously searching??

Hizi ni false accusations tu mkuu

Mm natafuta mke na niko serious coz nimeanza kuzeeka, kuna ubaya gani hapo?
 
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha!

Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.

Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.

Naanza mimi.

Occupation: Lawyer.

Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.

Kabila: Mjita.

Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).

Marital status: Single and Seriously Searching.

Haya karibuni wadau.

Duuh mbona mambo ya marital status tena unataka kupeperusha njiwa wa watu humu,hapo mwishoni sijapapenda
 
Back
Top Bottom