Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
- Thread starter
- #21
Kama una tatzo bac mwenye nia atakusaidia tu iwapo utapost tatzo lako kutoa personal details co ufumbuz
Mkuu ungepita tu, sio lzm kucomment.
Kama una tatzo bac mwenye nia atakusaidia tu iwapo utapost tatzo lako kutoa personal details co ufumbuz
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha!
Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.
Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.
Naanza mimi.
Occupation: Lawyer.
Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.
Kabila: Mjita.
Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).
Marital status: Single and Seriously Searching.
Haya karibuni wadau.
unazunguka saaaaana Mbna,sema unatafuta demu ww acha ubabaishaji
Occupation: multi careers.
Age: double numbers
Kabila: mutant wa makabila yote ya Tanzania.
Marital status: Double status.
Umeharibu padogo tu.
Jipange uje upya
Tiririka basi madame...
Occupation :Umbea team Jobless
Asili :Mwanza
Umri:65
Kabila;hata silijui
Marital status: double
Cc Kim nana Paula kilaki
asili:tanga ndo home
occupation: mpka vitumbua
kabila: mdigo
Umri:btn 21 - 30
marital status: in a relationship
Hapo kwenye occupation sijaelewa bado!!!!
Lyetuuu...mahande ndio kwa marehemu babu mzaa baba mkuu, kuna haja tufahamiane zaidi.
hahahaaaaa kaka umeua hapo uwiiii hadi aibu ni shida yani daaaa
Hahaaaaaaa! Haya togora mwenehu.
status :in relationships
kabila:chagga
occupation:dancer
umri: 30-40
like:money
Wapi hapo?
mke mwenza umetisha hatar sana mi nimepapenda hapo chini kwe relation.... safi sana