Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

Watu hawawezi leta habari zao humu na hii ni moja ya sifa nzuri, inawafanya watu wawe huru! Binafsi, sioni point, jukwaa la sheria lipo, michezo, burudani, Dr, ujasiriamali etc! Kama mtu ana shida anaenda huko, na mpaka sasa nafikiri wenye shida hizo wameenda maeneo husika na wamepata msaada bila hata ya hizo habari zao binafsi!
 
Mkuu NasDaz naona umehangaika kumwita miss neddy hadi umechoka na usingizi ukakuchukua hapo hapo. Pole sana bwana Nasdaz
 
Last edited by a moderator:
Ahaahaha babu, ebu anza kunipeleka show room kesho nataka ka vx tu babu.

Hahaha ako tena.. Tatizo una mashaka na babu..ngoja nirudi nikupeleke.. Maana nyinyi ni neeema hasa sisi wazee..!! usiwe tu mbali na mimi..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kimsingi hii mada haihusian na hili jukwaa...angalia mawazo ya watu kulingana na mada kisha utapata angalau picha ya kile unachohitaji...
 
Hahaha ako tena.. Tatizo una mashaka na babu..ngoja nirudi nikupeleke.. Maana nyinyi ni neeema hasa sisi wazee..!! usiwe tu mbali na mimi..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ha hah haaaa! haya, ucku mwema babu.
 
Back
Top Bottom