Njooni ndugu zangu mnishauri

Halua imekuwa chungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilijua ni story tu kumbe mnafanyaga kweli. Pole
 
Kosa lako kabla ya kufanya ulofanya hukuwa na plan B, kwa hali ilivyo nenda tu kampokee jumamosi ila usiende na talaka, mpokee mrudi nyumbani. Au tayari ushapata jibu, fanya ulichopanga kufanya kama kipo.
 
Tafuta mtu unayemuamini asiyemjua akampokee ampeleke lodge ambayo wewe ndio utakuwepo kwenye chumba atakacholetwa , hakikisha kuna mtu anamfuatilia kwa nyuma akimrekodi
Akitaka hivyo si bora atangulie tu room, kisha amwambie achukue tax hadi hotel amkute chumbani? Ili asije akasalitiwa akiona.
 
Mm kaniambia nikampokee Ijumaa. Nafikiri jumamosi umeingilia mpe mtu mwingine wewe zamu yako ni jumapili
 
Katika vitu ambavyo wanawake wapo very sensitive kwa wapenzi wao ni sauti na harufu.


MAGUFULI4LIFE.
 
We ulisikia wapi!!
Mkeo mlie zoeana umpigie simu halafu asitambue sauti yako,, mbona kama unatujaribu kijana,,

Nakumbuka mimi kuna rafiki yangu wa kike nilipotezana nae takriban miaka kama mitatu yeye ndo alinitafuta lakini sauti yake niiliijua,

Hapo umetuuza.
 
Mkuu.

Mkeo anarudi jumapili anayerudi jumamosi sio mkeo bali ni pisi yako mpya uliyoitongoza na mmekubaliana umpokee jumamosi .

Chunga huenda ikawa mkeo naye ni mmoja ya wale wala nauli za watu .
 
Mitego mingine ni kujitegea pressure na hata kifo, haya nasubiri J2 nisikie Habari kwa Millard Ayo " thebosskissima kazimia ubungo akiwa anampokea mkewe"
 
Tukusaidie nini sasa bloo?
 
Jamaa kaleta chaii bila vitafunwa mlipo mwambia awaletee ametokomeaa huko huko.. sasa mnakunywa chai kavu huku anawapiga chabo
 
Mwanamke bhana............,Ndio wazaifu but kuna sehemu we ndo unakuwa mzaifu


We unatafuta plan B ya kumdaka ,Yeye anabokesha plan A yake we subiri na uone ....
 
....Huyo Mke wako naye siye! Hapo huna Mke, Mkuu.
Anatongozwa kwa simu anakubali kugawa Tunda hata anayemtongoza hawajawahi kukutana!!
Du!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…