NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,360
- 25,894
Nyinyi bado mpo Tu!?Mitano Tena

Nyinyi bado mpo Tu!?Mitano Tena

Yaani asilimia kubwa ya wanawake nyakati hizi hawajui kukataa kabisa, inabidi tu tuendane na mazingira hakuna namna, sema usiue mkuu , kama wanawake wapo wengi tu , pia tusipende kuwajaribu wake zetu ,hawa wanawake wa sasa wanamapungufu mengi sana

Kajifiche hapo msamvu Jumapili ili uone anavyohangaika kumtafuta mtomba.ji akimkosa ataenda nyumbani kwenu. Hapo mbane kwanini karudi Jumapili na siyo Jumatatu na kwanini hakukutaarifu kuhusu kurudi Jumapili?
Shukran sana bro ila nadhani nitaenda kuua
Tuliza akili. Fikiria pia kuwa huenda mkeo amefahau ulichokifanya na amekutega tu. Biblia inatusihi kuishi na wanawake kwa akili na wala sio kwa shari.Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee![]()
Kweli.. labda jamaa anafanya shoo za kitotoTuliza akili. Fikiria pia kuwa huenda mkeo amefahau ulichokifanya na amekutega tu. Biblia inatusihi kuishi na wanawake kwa akili na wala sio kwa shari.
.
.
Fikiria pia kuwa mkeo ameamua kujivinjari na mtu mwingine (wewe mwenyewe) aliyempigia simu moja tu akiwa safarini. Hii ni dalili kuwa kuna jambo halipo sawa katika mahusiano yenu. Badala ya kufikiria kumwadhibu kwa vyovyote tafakari kuhusu wewe kwanza.
Kama sio copy&paste hii basi unairudia tenaMke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee![]()
Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee![]()
Kama hujajiandaa, bora umpigie tena kwa namba hiyo na ujitambulishe halafu muulize vipi bado utarudi jumapili au jumatatu ili yeye ndo abaki na hatia.Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.