Jinsi ya kuwekeza kwenye Stock Market 2024 Bongo na international hata kama una zero experience step by step

Mo Issa

Member
Jul 28, 2020
43
78
Kwanza, nitumie nafasi hii kuwashukuru wadau wote tuliokuwa pamoja mwaka 2023 na hatimae tunaenda kuumaliza mwaka huu, Ombi letu kwa Muumba ni tuumalize salama, ki-ujumla ulikua mwaka poa!
Namshukuru Mungu kwa yote!

Kitu cha pili, ni kwamba mwaka 2024 tutaendelea tutakapoishia mwaka huu. Lengo ni moja tu FINANCIAL FREEDOM(Uhuru wa Kiuchumi).

Na financial freedom unaweza kuipata popote pale.
That's why sijawahi kusema forex or stocks or crypto ni better kuliko kazi, sector au mishe yeyote ile.

But, mimi nimechagua financial markets kwa sababu zangu binafsi ambazo hata ukiniuliza sitokuambia. Why? ...Sababu ni kwamba we have different background, experience etc.

So, before hujaingia kwenye financial markets lazima uwe na sababu ambayo inakupelekea kuchagua hii sector.

Okay, One thing ambacho nina uhakika nacho ni kwamba wealth building process inahitaji Diversification.

Why Diversification?

Ni kwa sababu ya kupunguza risk, Risk za kutolewa kwenye ramani!
Yes...Kuna vitu vinaweza kukutoa kwenye ramani hata kama kuna mishe inakulipa sana kwa muda huo...tumeona mfano mzuri kipindi cha Covid-19 ilipokua imechachamaa, na hata sasa vipi vya vita huko duniani Watu wamepoteza biashara zao, mitaji, mauzo kupungua etc.

Leo naongelea stocks kwa sababu ya kile ambacho nimekisema mwanzo Diversification of investment...kwa kiswahili sanifu sijui wanasemaje...maybe MTAWANYO WA UWEKEZAJI

So stock market inaweza ikawa ni kitisho kwa watu wengi wanaotaka kuanza,
Ila niamini mimi kwamba unahitaji maarifa kidogo muhimu na experience ili uweze ku-generate wealth in long run. SI OVERNIGHT SUCCESS SCHEME pia.

Stock market ni nin?

Ni market kama zilivyo market zingine ila utofauti hapa ni kwamba bidhaa ambazo zinauzwa na kununuliwa Kwenye stock market utauza na kununua stocks

Mifano ni Dar es Salaam Stock Exchange, New York stock market etc

Na nikuambie tu stock market zina influence kubwa kwenye uchumi kwa sababu makampuni hapo ndo yanapatia mitaji pamoja na wawekezaji kujipatia chochote kitu,

Pia nisikufiche tu kuna high risk ya kupoteza lakini pia kuna uwezekano wa kupata high return kuzidi assets zingine kama ile cash na bonds.

Hii ni kwa sababu stock ina'represent umiliki wa kampuni na unaweza kunufaika endapo kuna ukuaji wa kampuni pamoja na mafanikio yake.

Na risk yake ni kubwa kwa sababu ya fluctuations katika stock market na hamna guarantee kwamba wewe lazima upate return.

Kabla ya kukuambia step by step ya jinsi ya kuingia kwenye stocks market kuna vitu natamani uvijue.

Mimi sio financial advisor so sitokuambia broker gani umtumie au stock gani uinunue, na usiniulize!

Invest at your own risk!

1. Tafuta broker mzuri na ufungue account kwake
Broker anakuwzesha kuuza na kununua stocks
Brokers wako wengi na wanatofautiana fees, tools na resources.

Vitu vya kuangalia
Ana assets gani? ...ambazo ni stocks sasa, fees na commissions zikoje, customer service zikoje? Reputation yao je? Terms and conditions pia

2. Investment goals zako na una uwezo gani wa kuvumilia risks
Malengo yako ni nini?
Retirement money? Au ya G wagon?

Pia kwenye upande wa risk...Je ni kiasi gani ambacho uko tayari kukipoteza?

3. Fanya research ya hiyo stock unayotaka kuinunua
Hapa unaweza kununua stocks mbalimbali kama vile financial statements, new articles, price charts na stock market analysis ipoje.

4. Uza na kununua stock kwa kumtumia huyo broker wako

Hapa system zinatofautina
Brokers wengi wa ndani hawana online platforms ukilinganisha na wa nchi za nje

Lakini hapa pia inabd uwe makini kwenye fees na commissions zikoje unaponunua na kuuza.

Tips za kuongezea ili game isiwe tough kwako

1. Diversify your portfolio

Usiweke mayai yote kwenye kapu moja
Kama unachukua stocks za tech, chukua na entertainment sector, Prison stocks etc

2. Weka stop loss
Sometimes mambo yanenda vbaya na tumeona mfano mzuri ni T$LA,

So stop loss inakusaidia ww mwekezaji kutopoteza kiasi chote pale ambapo mambo yameenda vibaya.

3. Kuwa na perspective ya muda mrefu

Fx traders wanajua hili kwamba ukiwa unashinda kwenye charts unaweza kufunga charts sehemu ambayo si sahihi
So zile upside and down usiziogope.

4. Uwe informed
Hapa namaanisha financial news na analysis
Pia uwe makini na indicators mbalimbali kama vile interest rate, employment na inflation.
Wanafunzi wangu wote wa technical hua nawaasa kua ni lazima waijue pia na fundamental analysis kwa sababu inaweza watoa mchezoni.

Pia, kuna kipindi ambacho earnings za kampuni husika hua zinakuwa zinaachiwa...hiki kipindi cha kuwa makini sana, kwa sababu hua kuna movement kubwa either bear move au bull move.

Baada ya kusema hayo niwatakie umaliziaji mwema wa mwaka huu 2023, na maandalizi mema ya mwaka 2024.

Niwatakie Afya njema na wote tuuone mwaka 2024 tukiwa salama.

Credit to Batholomeo Shukrani Mwalimu wangu.
 
Lakini kwa nini wasifungue account hizo peke yao kwanini watafute Broker? Brokerage Account ni bure.
 
Back
Top Bottom