Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

Wakazi wa mkoa wa Njombe wamesema hawajawahi kuishuhudia baridi kali kama hii ya mwaka huu

Wakazi wa mkoa huo wamepunguza muda wa kufanya kazi wakihofia kupatwa na Maradhi

Naye mkuu wa mkoa huo mh Kindamba amesema Baridi hiyo ni fursa kea mkoa huo kutangaza Utalii wa ndani na kuwaalika watu kufanya Utalii wa Baridi ili kuongeza mapato ya Serikali

Source ITV habari
Viongozi wa ccm kama machizi yan😀
 
Kumbe njombe wana RC boya kiasi hicho? Ukiona vyeti utakuta ana masters kabisa na anajiita msomi, njombe ina kitulo, njombe ina miti, njombe ina parachichi, njombe ina matunda aina ya Apple tena matamu na makubwa kuliko hata yale ya south kosa aite watu wajenge viwanda vya kusindika apple na waboreshe kilimo iwe apple inapatikana mwaka mzima yeye analeta blah blah, kosa apromote hata viazi mviringo kaona baridi ni fursa.
 
Sijawahi kufika njombe ila Kuna kipindi nilienda arusha, sasa usiku ukafika nikalala palepale stendi maana mfuko ulikuwa umekaa kushoto.
Nilijifariji kwa kudhani hali ya hewa ni kama nitokapo.
Sikujua lolote.
Aise siku ile nilipigwa na baridi kidogo nife.
Ilibidi tu niwe mpole na niombe nguo ya kuvaa kwa juu maana kidogo nifie pale pale stendi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikutana kitu baridi hapa Mbeya kusema ukweli ni hatari maana hadi viungo vya mwili viliuma
. Leo afadhali kidogo lakini saa moja tayari nilikuwa kitandani.
 
Hatari sana
 

Attachments

  • FB_IMG_16574762361030568.jpg
    FB_IMG_16574762361030568.jpg
    30.2 KB · Views: 3
Last week nilikuwa Iringa Eleven Centrigrade ilikuwa ni moto wa kuotea mbali
Nilikuwa nimelala kwenye Noah niliamka mwenyewe usingizi ulikata kikatili
 
Back
Top Bottom