Nasikia anaonekanaga mochwari ya muhimbili mara kwa mara...Wana iramba magharibi poleni kwa kumchagua mtoa roho za watu,nasikia mara moja moja anakuja lkn kaeni chonjo yule ashaazimia kuwamaliza wasiovaa kijani/njano.
Udaku ndani ya JF.
No more a home of GREAT THINKERS
Wananchi wa Njombe mjini wametangaza kupotelewa kwa Mbunge wao wa Njombe Kusini huko Dar na wametangaza zawadi nono kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mbunge huyo au wapeleke taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilichopo jilani kwa wale wenye taarifa za Mbunge huyo.
JF ina raha kila siku yani...
Aisee hata mimi nashangaa, wako wapi akina hamida, sumu, chama, ritz, zemarcopolo, uncle deo, radhia ect
Jamani Arusha mjini wetu nasikia anashinda kwenye vijiwe vya wavuta bangi. Tafadhalini mwenye kujua alipomuona katika moja ya vijiwe hivyo atoe taarifa polisi.
Hai mbunge wetu amekuwa bondia
hamieni arusha mjini.huku hatuna shida tuna cartepillar ila lilipata shida kidogo soon mtaliona mjengoni.
Ulitaka akishikwa elton john atulie kama Dr.Kigwangala....Hai mbunge wetu amekuwa bondia
Nasikia anaonekanaga mochwari ya muhimbili mara kwa mara...
Kuwa makini Kaka huwa hawachelewi kung'oa kucha ila ndiye huyo huyo homo habilis
mbona tupo naye kila siku ubungo?? wewe hushindi kwa mkeo ubungo unashinda kwa kimada kigamboni unatwmona saa ngapi?
Hamida nusura apigwe talaka na Nchemba,kapoa siku hizi customer care ipo busy...Hamida ameanzisha ki-thread uchwara ili kutuondoa kwenye uzi makini!!!!