sir joshua
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 479
- 176
Kuchonga penseli yake kwenye vichongeo vya mabinti ndio kufanyaje mkuu?
ni ku troooo.o.ombaaaa mkuu.
Kuchonga penseli yake kwenye vichongeo vya mabinti ndio kufanyaje mkuu?
Jamani Arusha mjini wetu nasikia anashinda kwenye vijiwe vya wavuta bangi. Tafadhalini mwenye kujua alipomuona katika moja ya vijiwe hivyo atoe taarifa polisi.
Napenda kumpa taarifa kama akipatikana. Naja kumpiga chini 2015, Uwezo ninao, Nia ninayo na Nguvu ninayo, Atulie tumletee maendeleoHuyu nimekutana naye jana kule Mikocheni akila makongoro!
na mimi naomba kutoa tangazo la kupotelewa kwa mbunge wetu wa Simanjiro anaitwa Olesendeka maarufu kwa jina la tikiti maji, yeyote atakaye muona atoe taarifa kwenye kituo cha polisi kilicho karibu naye, zawadi nono itatolewa.
Bora sie wanabunda tulishajua mbunge wetu anaishi porini so hatuna presha ya kumtafuta eti.
Aje kwanza nimuajiri yeye anaekesha kutoa roho za watu ili mkono uende kinywani,bungen apeleke mswada hati milik ya shoza,mwampamba,ritz,zemarcopolo,hamida...TAARIFA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA HOJA YANGU YA AJIRA KWA VIJANA.
Kutokana na kukatishwa kwa Bunge linaloisha Tar.6/09/2013 badala ya Tar.13/09/2013.Napenda kuwajulisha Watanzania wenzangu wote kuwa,hoja yangu binafsi ya AJIRA KWA VIJANA itaingia kwenye shughuli za Bunge lijalo.
Nawashukuru vijana wote waliotoa maoni/mapendekezo tayari kuhusu hoja hiyo,Lakini naendelea kupokea maoni na mapendekezo ya hatua za muda mfupi na mrefu kuhusu tatizo la ajira kwa vijana chini.
Unaweza kunitumia maoni/mapendekezo yako kupitia hapa kwenye ukurasa wa Facebook(comments au Inbox text),Pia unaweza kunitumia kwa Email yangu mwigulunchemba@yahoo.com.
Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Mwigulu Lameck Nchemba
Mbunge wa Iramba Magharibi,
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Tanzania Bara
Mungu Ibariki Tanzania.
Arusha town hatukuchagua mbunge tulichagua mwakilishi wetu sisi hatuna mbunge... Lusinde ni mbunge, nchemba ni mbunge ivi kweli na Lema awe mbunge?? Lazima tuwe tofautiarusha mjini yupo sebuleni mwetu daily
Huyu nimekutana naye jana kule Mikocheni akila makongoro!
Wananchi wa Njombe mjini wametangaza kupotelewa kwa Mbunge wao wa Njombe Kusini huko Dar na wametangaza zawadi nono kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mbunge huyo au wapeleke taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilichopo jilani kwa wale wenye taarifa za Mbunge huyo.
arusha mjini yupo sebuleni mwetu daily
We mkewe.....Moshi mjini tuna tatizo la mbunge kupoteza kumbukumbu kutokana na umri,ana umri sawa na Mugabe,ana sahau hata kwenda wash rum