Huyo nimemuona jana usiku maeneo ya sinza africa sana akinunua machangudoa nikamwuliza akasema hiyo ni moja ya agenda yawana kongwa.Ngoja nikimbie nikaripoti polisi
jamani kuna huyu Malima,ni mbunge wa machangudoa au,mbona wananchi wake hamumuulizii.au mnajua ka anapatikana gest
Udaku ndani ya JF.
No more a home of GREAT THINKERS
JF ina raha kila siku yani...
Mwanzisha uzi huu ameonyesha creativity. Bravo!
Na sisi anaitwa idd azani atakae muona apeleke habari kituo cha polis
Jamani bora hata nyinyi wenzetu...sisi mbunge wetu wa Maswa John Shibuda hatujawahi kumuona tangia ulipoisha uchaguzi wa mwaka 2010. Na kibaya zaidi hatujui yuko chama gani! Maana Chadema yupo na CCM yupo. Kama mtamuona tunawaombeni mtoe taharifa mtaa wa Ufipa kinondoni na mtaa wa Lumumba Ilala.
JJ kila siku tuko naye hapa jimboni
Nipo nae hapa.......!!!!ananiambia mnazid kumpiga mizinga kawakimbia,bora mngechagua CDM.
Wa kazi wa kibaha tunamtafuta mbunge wetu koka mwenye taarifa zake aweke umu jamani
mkimpata na wa UBUNGO mmwambie naye pia kuwa anatafutwa na wapiga kura wake hasa wa kimara na asifanye mikutano barabarani anakowahutubia waendesha bodaboda.
hamieni arusha mjini.huku hatuna shida tuna cartepillar ila lilipata shida kidogo soon mtaliona mjengoni.