Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,315
HONGERA kwa muanzisha uzi, lakini mbunge wako hajapotea ila xupo huku anakula maisha anasema biashara na nyinyi ilisha kwisha kwani alisha walipa umezisahau zile kofia, kangaa na vijisenti?
ungefanya mpango huu wito umfikie MH MBUNGE .