beast of kandahar
Member
- Jul 1, 2013
- 98
- 33
sie wakaazi wa kata za ruaha tumepotelewa na mbunge wetu tunamuona bungeni tu ila amegeuka kuwa bubu,yeyote atakaye muona ampe salaam jimbo la mikumi anafukuzwa 2015 akae huku dodoma au dar.
Hata sisi wnainchi wa Kongwa tunatoa taarifa ya kupotelewa na Mbunge wetu JOB Ndugai, sisi wapiga kura wake wa mlali na ndulugumi hatujawahi kumwona tangu amechaguliwa tunasikia tu ni naibu spika anafukuza wabunge wenzie wliochaguliwa na wanainchi kama sisi vile vile tunasikia ana wake wawili wanaoishi TABATA Dsm hivyo akimaliza vikao vya bunge hao wanawake wanamficha Tabata kama vile memechagua wao hivyo yoyote atayemwona Tabata atoe taarifa kituo cha police chochote kilichopo karibu.
hahaaa! huyu mbunge wenu anashinda na Mulugo hapa Mbeya jiji! subiri nikiwa sina kazi nitampiga picha ili mum-verify kama ni yeye kabla sijaripoti polisi!
Jamani mbunge wa kilosa yupo wapi?????
Jamani mbunge wa kilosa yupo wapi?????
jamani kuna huyu Malima,ni mbunge wa machangudoa au,mbona wananchi wake hamumuulizii.au mnajua ka anapatikana gest
Udaku ndani ya JF.
No more a home of GREAT THINKERS
Wananchi wa Njombe mjini wametangaza kupotelewa kwa Mbunge wao wa Njombe Kusini huko Dar na wametangaza zawadi nono kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mbunge huyo au wapeleke taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilichopo jilani kwa wale wenye taarifa za Mbunge huyo.
Hakuna mbunge wa Mwanza. Be specificEti mbunge wa mwanza anaonekana mliman city samaki samaki kila siku jimboni kwake anakwenda kama kuna msiba na harusi tu
sie wenyewe wetu wa moshi vijijini kapotea tumemtafuta weee tumemtafta weeeee wapi tumeamua kujikalia kimya
Eti mbunge wa mwanza anaonekana mliman city samaki samaki kila siku jimboni kwake anakwenda kama kuna msiba na harusi tu