MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Na sisi anaitwa idd azani atakae muona apeleke habari kituo cha polis
nimuona airport yuko bize nakupokea madawa
Na sisi anaitwa idd azani atakae muona apeleke habari kituo cha polis
Sisi shida yetu ni kubwa zaidi...mbunge wa Serengeti hajui kabisa wajibu wake.
Huyu hapa chini anatafutwa na wana sumbawanga, atakaemuona atoe taarifa kwa ndugai au makinda
View attachment 110847
Jamani mbunge wa kilosa yupo wapi?????
sie wenyewe wetu wa moshi vijijini kapotea tumemtafuta weee tumemtafta weeeee wapi tumeamua kujikalia kimya
na mimi naomba kutoa tangazo la kupotelewa kwa mbunge wetu wa Simanjiro anaitwa Olesendeka maarufu kwa jina la tikiti maji, yeyote atakaye muona atoe taarifa kwenye kituo cha polisi kilicho karibu naye, zawadi nono itatolewa.
Jamani mbunge wa kilosa yupo wapi?????
Udaku ndani ya JF.
No more a home of GREAT THINKERS
Hata juzi kura lilpopigwa kwenye suala nyeti kama muswada wa katiba, wabunge walioafiki na waliokataa jumla yao ilikuwa kama mia mbili tu kati ya wabunge wote 356. hii ina maana hawakufika hata thelithi mbili, mwendelezo kama huu ukifika kwenye bunge la katiba maamuzi yatakuwa hayafikiwi kikanuni.
jamani kuna huyu Malima,ni mbunge wa machangudoa au,mbona wananchi wake hamumuulizii.au mnajua ka anapatikana gest
mkimpata na wa UBUNGO mmwambie naye pia kuwa anatafutwa na wapiga kura wake hasa wa kimara na asifanye mikutano barabarani anakowahutubia waendesha bodaboda.
Naomba nikusahihishe kidogo,waliopiga kura walikuwa 106 tu!
Lulu tafadhali muachie mbunge wetu aende jimboni kwake,
Unamchosha na mavituz yako ya bongomovie anaishia kusinzia tu bungeni na kuongea pumba
Tafadhali sana we bint
Huyo mbunge wenu Zambi amezoea kushinda kwenye halmashauri kwani huko ndiko anakoomba rushwa kama alivyothibitisha mheshimiwa Kafulila bungeni!!
Hata sisi wnainchi wa Kongwa tunatoa taarifa ya kupotelewa na Mbunge wetu JOB Ndugai, sisi wapiga kura wake wa mlali na ndulugumi hatujawahi kumwona tangu amechaguliwa tunasikia tu ni naibu spika anafukuza wabunge wenzie wliochaguliwa na wanainchi kama sisi vile vile tunasikia ana wake wawili wanaoishi TABATA Dsm hivyo akimaliza vikao vya bunge hao wanawake wanamficha Tabata kama vile memechagua wao hivyo yoyote atayemwona Tabata atoe taarifa kituo cha police chochote kilichopo karibu.
Wa kazi wa kibaha tunamtafuta mbunge wetu koka mwenye taarifa zake aweke umu jamani