Me nipo mwanza ila niliweka jina la mtaa na namba ya simu ..inakuwaje hapo msaada plzzNani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia
Ukiweka hivi kule KIKUU.COM wanakuletea hadi mkoa ulipo. Ila kwa hao wengine nasubiria majibu.Me nipo mwanza ila niliweka jina la mtaa na namba ya simu ..inakuwaje hapo msaada plzz
Kumbe kikuu wako njema eeeUkiweka hivi kule KIKUU.COM wanakuletea hadi mkoa ulipo. Ila kwa hao wengine nasubiria majibu.
Ukiweka hivi kule KIKUU.COM wanakuletea hadi mkoa ulipo. Ila kwa hao wengine nasubiria majibu.
Nenda na hiyo tracking namba yako muonyeshe yule mother pale HPO counter namba tano. Lakini uwe na uhakika mzigo umeshafika.Mimi nipo Dodoma
Hapa umeeleweka boss. ShukraniIkiwa umejaza physical address, mzigo utafika kwenye local post office ya wilaya/mkoa ulipo. Na utajulishwa kwa call/sms kwenda kuuchukua wewe mwenyewe.
Wako vizuri, tatizo ninkwamba wana bidhaa ndogondogo kama nguo, housewares, men,women accessories, small electronics etc. Simu na tvs kule ni kama hakuna.Kumbe kikuu wako njema eee
Hawa kweli wapo vizuri kwenye masuala ya usafirishaji, ko mzigo wako ukifika wanakupigia simu???Wako vizuri, tatizo ninkwamba wana bidhaa ndogondogo kama nguo, housewares, men,women accessories, small electronics etc. Simu na tvs kule ni kama hakuna.
Ona sample ya tracking yao hapo.... Kutokea china, Dar hadi ArushaView attachment 1101527
Ko niwe mvumilivu tu nisubiri kupokea simu/sms kutoka post office ??? Maana nimeanza kupatwa na wasiwasi hapaIkiwa umejaza physical address, mzigo utafika kwenye local post office ya wilaya/mkoa ulipo. Na utajulishwa kwa call/sms kwenda kuuchukua wewe mwenyewe.
Wanakupigia simu unaenda kuupokea kwenye ofisi zao mkoani kwakoHawa kweli wapo vizuri kwenye masuala ya usafirishaji, ko mzigo wako ukifika wanakupigia simu???
Fanya kutrack kama umefika au la.Ko niwe mvumilivu tu nisubiri kupokea simu/sms kutoka post office ??? Maana nimeanza kupatwa na wasiwasi hapa
Tayari jamani nimeipokea leo saa yangu kutoka china nasubiri pullover pekeeFanya kutrack kama umefika au la.
Wamekupigia simu?Tayari jamani nimeipokea leo saa yangu kutoka china nasubiri pullover pekee
wamenipigia simu na sijalipa hata senti zaidi ya kutoa saini pale postaWamekupigia simu?
Vp kuhusu kodi, imo?
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu[/USE
@Ymoller
Chcht mkuu unaagiza na unaletewa..hata kama ni gololi ya baiskeli unaletewaVitu vikubwa kiasi kama TV vinaagizwaje? Posta wanasafirisha?