Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

kiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Mkuu kwa uzoefu wangu njia hii hutumia siku 14 hadi 30 hivi, nimeshaagiza mara nyingi sana.
 
niliagiza charging mini usb port for s4 mini from uk, gsm module from germ, box la sweets from germ hakuna kilichozidi 14days...wiki3 zilizopita ila kama ni items za china ndo hua zinachukua masiku mingimingi
 
Upo sawa mkuu, ni kweli, nadhani pia nchi vinakotokea inaweza kuchangia kuwahi au kuchelewa kwa bidhaa.
 
niliagiza charging mini usb port for s4 mini from uk, gsm module from germ, box la sweets from germ hakuna kilichozidi 14days...wiki3 zilizopita ila kama ni items za china ndo hua zinachukua masiku mingimingi
Hizo mini usb ulipigwa kodi? Na ulizichukulia wap mzgo ulpo fika bongo
 
amna cha kodi..nachukulia posta
Okey mkuu,,vipi kuhusu address sasa especially kama kweny hii picha plus postal code
PicsArt_03-19-07.04.49.jpg
 
Na ile huduma ya USPS imekaaje
Ile mkuu mzigo unafika ndani ya siku saba hivi, delays nyingine labda zitokane na TRA procedures lkn sio wao. Mi nilitumiwa kwa njia ya USPS nilinunua kupitia amazon nilipata ndani ya siku nne. Mzigo ukifika unapigiwa simu wakuletee wapi.
 
nenda uhuru heights posta pale kwa ground floor Banc abc wanauza izo card dk 10 tu unamaliza kila kitu nenda na picha na sh5000(nadhani ishapanda)
Mkuu naomba kuuliza kwenye hili...Je hizo card unaweza zi link na paypal baada ya kupewa na bank maana kama ebay sellers payment method ni paypal..
 
Napenda sana kuagiza electronic za matumiz binafsi ila na changamoto ya kutojua jinsi ya kutumia ebay kama ulipaji wake na mambo mengine msaada plzzzz
 
nenda uhuru heights posta pale kwa ground floor Banc abc wanauza izo card dk 10 tu unamaliza kila kitu nenda na picha na sh5000(nadhani ishapanda)
Tofauti na Banc ABC ni njia au bank gani naweza kutumia kufanya malipo? Lazima niwe na account maalumu?
 
Ile mkuu mzigo unafika ndani ya siku saba hivi, delays nyingine labda zitokane na TRA procedures lkn sio wao. Mi nilitumiwa kwa njia ya USPS nilinunua kupitia amazon nilipata ndani ya siku nne. Mzigo ukifika unapigiwa simu wakuletee wapi.
Mkuu ni tofauti na UPS nadhan hawa UPS kama Kama DHL.Je unazungumzia hawa USPS ambao ni shirika la posata?
 
Back
Top Bottom