Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

maana nilipata update tangu tarehe 2 kuwa bidhaa imeingia nchini lakini hadi leo sijapigiwa simu na watu wa posta
Usisubr simu mkuu..mzigo ukishafika kaa hata siku 3 au 5 nenda tu posta ukaulzie
 
Unafika mkuu... Ila kwa huku nlivyoona ukiandika posta ndogo izi mzigo unachukulia posta ya mkoa.. Mfano kwa uku naandikaga iyunga ila naenda kuchukulia ya mkoa
Mkuu unaagizia wapi naomba kujuzwa pia niko mbeya nmejarbu kuagiza amazon nmeshindwa pia sina visa naomba kujua kuhusu mpesa mastercard
 
Mkuu unaagizia wapi naomba kujuzwa pia niko mbeya nmejarbu kuagiza amazon nmeshindwa pia sina visa naomba kujua kuhusu mpesa mastercard
Amazon??agiza kupitia aliexpress na ukutaka kufanya malipo tumia master card za voda zile unatengeneza au halotel nimeona nao wameanzisha
 
Amazon??agiza kupitia aliexpress na ukutaka kufanya malipo tumia master card za voda zile unatengeneza au halotel nimeona nao wameanzisha
Amazon na eBay wanazingua na zile restrictions zao.
Eti hawaship Tz!!!
Ukiona wanaship basi ni zile bidhaa zisizo na gharama au zinazotokea china
Nilijaribu kuwabana sellers wanadai kwamba walipata hasara siku za nyuma Kwa upotevu wa parcel walizotuma Tz, so hata ubembeleze vipi jibu ni kwamba hawaship.
Over
 
ivi kama bidhaa uliyoagiza ikifika nchini inaweza fika mkoani kwa mda gani mkoani kama Ruvuma
Nenda posta pale magereza kawaulize mi mzigo wangu juz tu nimechukua na walinipigia simu na inachukua siku tatu au mbili
 

Attachments

  • IMG_20190826_152155.jpg
    IMG_20190826_152155.jpg
    86.9 KB · Views: 30
Mkuu hapokwenye street address 1 jaza Postal Address iliyokamilika na mtaa. Postal code mi huwa najaza dash (_). Address 2 ni optional
Vp kuhusu yale ma Zip code.?. na je, mzigo wangu utapo tumwa nita ujuaje pale ntapo ufwata posta?
 
Mkuu naomba kuuliza kwenye hili...Je hizo card unaweza zi link na paypal baada ya kupewa na bank maana kama ebay sellers payment method ni paypal..
Ndiyo unaweza haina shida mkuu,ili mradi tu imewezeshwa kufanya manunuzi kwenye mtandao. Kaza buti hakuna kurudi nyuma. Tunasubiri mrejesho umeipata na umejaribu hata kununua kitu cha hata dola mbili
 
Mkuu ni tofauti na UPS nadhan hawa UPS kama Kama DHL.Je unazungumzia hawa USPS ambao ni shirika la posata?
Ndiyo USPS ni posta ya Marekani. Hawacheleweshi mizigo. Nakumbuka nilishanunua tv ilichukua siku tano tu mpaka Tz. Lakini kutoka posta kuu Dsm mpaka nilipo ilichukua wiki mbili
 
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu[/USE
@Ymoller
Ndiyo, naona kote wanakamua kwelikweli. Ni mkakati wa kuongeza mapato
 
msaada
mimi ni mgeni wa kuagiza bidhaa online nimejaribu na nimetrack bidhaa mara ya mwisho nimepata information hii
LAO, (The item has been processed in the country of destination) je hapa kama niko mkoani siwezi kuutrack tena na nitajuaje kama umefika mkoa nilioko.?
Mzigo ukija hapa kwetu kwakweli ni shida kuu-track kwa sisi tulioko wilayani. Hapo naona mzigo wako umefika na kupokelewa posta kuu Dsm upo ktk mchakato. Subiri utaupata tu
 
Mimi nilijaribu kununua laptop nikaishia kutapeliwa tu, kuna wahindi walinilipisha dolar 400, badae wakaniambia mzgo umekwama sudan kwaajili ya import clearance inatakiwa dolar 230 nikalipa, badae tena wakaniambia eti walituma pc 3 hivo nilipie moja moja napewa bure nikagundua kumbe nimetapeliwa.

Tuwe makini huko mtandaon
 
E
kiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Bay wanakuja track number ukinunua mzigo kwao Kama aliexpress.
 
Back
Top Bottom