P.J
Senior Member
- Jan 30, 2014
- 166
- 88
Me nipo mwanza ila niliweka jina la mtaa na namba ya simu ..inakuwaje hapo msaada plzzNani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia