Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

Tarakilishi

Tarakilishi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2013
Messages
2,083
Points
2,000
Tarakilishi

Tarakilishi

JF-Expert Member
Joined May 19, 2013
2,083 2,000
Mkuu ni tofauti na UPS nadhan hawa UPS kama Kama DHL.Je unazungumzia hawa USPS ambao ni shirika la posata?
Mkuu, upo sawa kabisa, nimesahau kidogo maana ni muda mrefu kidogo. Inawezekana kabisa nilitumiwa kupitia UPS but huenda nimechanganya na USPS
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,769
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,769 2,000
Tofauti na Banc ABC ni njia au bank gani naweza kutumia kufanya malipo? Lazima niwe na account maalumu?
mcheki Mwl. RCT yupo humuhumu nadhani shida yako atakutatulia vizuri
 
msold msward

msold msward

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Messages
605
Points
250
msold msward

msold msward

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2016
605 250
Na shiling laki mbili nataka agiza T-shirt plain za bei rahisi nataza kwenye eBay naona wameandika ivi sijahelewa wana maana gani $3.45-6.45+$3 shipping hapo wana maana gani na je iyo hela ntapata T-shirt ngapi pamoja ukijumuisha na usafiri hadi tanzania
 
MKANDAHARI

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
2,826
Points
2,000
MKANDAHARI

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
2,826 2,000
Hivi nikitaka kufanya kadi yangu ya bank iwe inafanya online transaction ni njia gani natakiwa nifanye?

Je, kwa bank husika ili kufanikisha hili kuna makato yoyote wanakata?
 
Kaudunde Kautwange

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
949
Points
1,000
Kaudunde Kautwange

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
949 1,000
Na shiling laki mbili nataka agiza T-shirt plain za bei rahisi nataza kwenye eBay naona wameandika ivi sijahelewa wana maana gani $3.45-6.45+$3 shipping hapo wana maana gani na je iyo hela ntapata T-shirt ngapi pamoja ukijumuisha na usafiri hadi tanzania
Kwa uzoefu nilio Hao, kwenye hizo Bei hiyo ni range.. Means hapo kuna minimum Na maximum, jinsi unavyozidisha idadi ya t shirt ndivyo Bei inavyopungua kutoka maximum kuja minimum..

Kujua idadi ya t shirt utakazopata, Jaribu kufanya kama unataka Ku place order.. Utajua idadi..
 
Tempon

Tempon

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
235
Points
500
Tempon

Tempon

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
235 500
Hivi nikitaka kufanya kadi yangu ya bank iwe inafanya online transaction ni njia gani natakiwa nifanye?

Je, kwa bank husika ili kufanikisha hili kuna makato yoyote wanakata?
Card inatakiwa iwe master au visa Kwa bank kama Crdb unaenda Tawini kuna fomu unajaza ya kuiruhusu kwa PayPal wakati una link hukata kama dollars mbili ivi Unaenda benk unachukua statement utakuta na confirmation code kwa hio statement unaziweka paypal
 
Cham Bee

Cham Bee

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Messages
3,440
Points
2,000
Cham Bee

Cham Bee

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2015
3,440 2,000
kiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Mkuu itabidi unisaidie maujanja kuhusu manunuzi eBay.
 
P

P.J

Member
Joined
Jan 30, 2014
Messages
57
Points
95
P

P.J

Member
Joined Jan 30, 2014
57 95
Mkuu hapokwenye street address 1 jaza Postal Address iliyokamilika na mtaa. Postal code mi huwa najaza dash (_). Address 2 ni optional
Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipi
 
Ngosi

Ngosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
323
Points
250
Ngosi

Ngosi

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
323 250
Huu mzigo toka niagize mwezi wa nne tarehe 18 hadi leo bado haujafika aisee niliagiza Aliexpress kutoka China kwa njia ya Posta ndo unifikie
aliexpress-jpg.1092047
 
The last don

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
677
Points
500
The last don

The last don

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
677 500
Huu mzigo toka niagize mwezi wa nne tarehe 18 hadi leo bado haujafika aisee niliagiza Aliexpress kutoka China kwa njia ya Posta ndo unifikieView attachment 1092047
Kama una tracking number,nenda posta office dirisha namba nane watakuchekia kama mzigo wako umefika.
 
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
948
Points
1,000
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
948 1,000
Tofauti na Banc ABC ni njia au bank gani naweza kutumia kufanya malipo? Lazima niwe na account maalumu?
Equity Bank Cards zao ni VisaCard zinafaa kwa manunuzi yote mtandaoni...
 
potrayed

potrayed

Senior Member
Joined
Aug 19, 2013
Messages
152
Points
225
potrayed

potrayed

Senior Member
Joined Aug 19, 2013
152 225
Pia mpesa MasterCard ya voda ipo vizuri pia
 
jwhizzy

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
541
Points
250
jwhizzy

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
541 250
MasterCard ya MPESA is the BEST in TOWN
Vipi makato Yao na rate exchange yao.iko vipi? Kama nitanunua kitu Cha laki 2 naweza kulipia zaidi ya laki 2 na 20s ? Au chini ya hapo.
 
M

mamserenga

Member
Joined
Feb 24, 2019
Messages
22
Points
45
M

mamserenga

Member
Joined Feb 24, 2019
22 45
Inabidi tupate mtu atufafanulie hasa kwa sisi tunaotumia ma bank local kama NMB kuagizia mizigo
 
daraja la kigamboni

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Messages
286
Points
250
daraja la kigamboni

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2016
286 250
Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipi
Nani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia
 
P

P.J

Member
Joined
Jan 30, 2014
Messages
57
Points
95
P

P.J

Member
Joined Jan 30, 2014
57 95
Nani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia
Mimi nimeagiza mzigo lakini niliweka address ambayo haina sanduku la posta . Now naambiwa mzigo umefika kwenye ciuntry of destination ila namba za simu niliweka , sijui inakuwaje hapo
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,436
Top